Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Nikupe update niwe nimepeperusha ndege hapa ngoja nianze harakati mdo mdo.Sasa jirani yako ndo Bina wangu hivo watch her very careful afu uniapdet mienendo yake
HahaHa ha haa!
Mkuu mbona hivyo. Huyo dogo sio Bashite
Ipo hapo juu mkuuMkuu naomba link ya profile ya IG ya huyo binamu yako nikamwongezee idadi ya likes.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muambie ageuke kwa nyuma tumuone
Ndio hivyo mkuuKumbe na yeye havumi ila yumo na huku.
Hiyo ni college or course. Weka wazi au unaogopa wanaume wahum kutafna mkate wako.College of social science.
Fanya hivyo mKuu
Hahaaaa!!!Hiyo ni college or course. Weka wazi au unaogopa wanaume wahum kutafna mkate wako.
Hagombei uzuri,Mbayaaaaaaaaaa havutiiiiiiiiiiiiiiiii
Wa kawaida sanaaaaaaaaaa