Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Niliwahi kusoma sehemu kwamba lulu ina thamani kubwa sana. Kumbe lulu hutokea kwenye vina vikubwa huko vya maji na mpaka zitengenezwe ni process kubwa. Na ndio maana wanaozitafuta hustruggle sana kuzipata.
Sasa binti, kichuna wewe ni mrembo na wa thamani sana. Kama kuna anguko umeshapitia unaweza ukainuka na kujikung'uta mavumbi. Wewe ni wa thamani sana walijua hilo?
Magari, nyumba, you name it vyote hivyo ni utopolo kabisa. Nani kakwambia havipatikani. Ukipambana vitakuja tu lakini si kwa kufungua miguu haraka. Matokeo yake kuishia katika majuto, maumivu, visa, stress, depression na wengine kujiua.
You, yes you are very precious before GOD hivyo jua kuitunza thamani yako. Ni kwa jinsi hiyo tu unaweza kupata furaha katika nafsi yako na mahusiano yako yakawa mazuri kwa sababu hukuentertain upuuzi (you know what i mean).
Hawa wanaume leo hawana jema wala baya wanaexist tu. Jua kujisimamia katika misimamo thabiti haijalishi wangapi hawatakuelewa wewe songa mbele. Kuna furaha katika kujitambua, kujielewa na kujithamini. Ijue thamani yako, live your worth.