Binti ijue thamani yako. Hujachelewa

Too bad women hardly know this. Maybe as per the other reply i have stated that sex is the new normal in the world and its a reference point. You men sometimes be like is she a bitch in bed which makes women take that as a major point for success.

So what should be done. Lets raise our kids to sustainability and teach them what is correct irrespective of the gender. Our girls should know that your success comes from your struggle and if it happens that there is a man coming then listen, respect but dont depend on him. We should also tell them that big success shouldnt be an attitude changer coz humility is the number one deal for a lady.

Am against standing face to face with a man its bullshit men despite one's worth,job,brains!!
 
And nimeona kuna utata hapo juu tafadhali mimi ni ke
 
Asante sana kwa huu Uzi, japo mwanamke kuna changamoto utapitia unapoamua kujithamini, ikiwepo kuonekana mshamba, kuonekana sio muelewa, na kuitwa majina mengi tuu, lakini amini Mungu yupo na humpa kila MTU thawabu yake.
Tuachane na porojo na ideas za ubinafsi ambazo me wametumia kuwaharibia maisha Dada zetu ama wadogo zetu kama vile;

*Siuziwi mbuzi kwenye gunia(sasa si ujiulize wewe ni mbuzi?)
*utazeekea kwenu(my dear kwani kwenu ni gerezani?, je huyo kiumbe anaekwambia hivyo ni Mungu kuwa anaijua kesho yako?)

Hizi kauli zimewapoteza mabinti wengi sana wamejikuta wengine ni single mum bila kutarajia na wengine wamepoteza usichana wao kwa idea za kipuuzi kama hizo.

WANAWAKE TUJIAMINI, TUJITHAMINI, TUCHAPE KAZI
 
Asante sana kwa huu Uzi, japo mwanamke kuna changamoto utapitia unapoamua kujithamini, ikiwepo kuonekana mshamba, kuonekana sio muelewa, na kuitwa majina mengi tuu, lakini amini Mungu yupo na humpa kil

WANAWAKE TUJIAMINI, TUJITHAMINI, TUCHAPE KAZI
Asante mkuu exactly my point. Ujue saivi wengi tumefungwa sana na mambo ya muda like time is running sijui nini. Dunia inakuja inakupressurelize na wewe huna msimamo basi mambo fulugu mechi. Kinachochekesha ni kwamba wanaume wengi watakuona unabania sijui old school mara conservative na tena kudharaulika kuonekana si kitu....acha mafisi wapenda mifupa.

Yuko ambaye ametulia zake huko Mungu amekuandalia wewe na wewe kwa ajili yake ipo siku atawakutanisha. Hawa wengine Mungu hawezi kuwaonesha your potential kwa sababu ni makurumbembe wakahangaike kwa wanaowafaa ila wewe you are a pearl..very precious. Ijue thamani yako
 
U
UMenena haswaa ,wenye hizo kauli wengi huwa ni wapitaji tu,MTU mwenye hekima zake na mwenye malengo na binti huwa hatumiagi hizi propaganda haribifu. Mimi nasemaga bora mda uende lakini nibaki Nina amani kuliko kuukimbiza mda halafu unatumbukia kwa shimo.
 
Wachapa kazi nawapenda mno Njoo PM.
 
Tatizo linakuja pale atakapo jitunza na bado maisha yakamchapa ndo wanaonaga bora kujilipua chances zinapotokea. Mi hawa wanawake huwa siwalaumu hata kidogo kwenye ishu za kujitunza
Life halina adabu! Unajitunza huku unapauka wakati wengine wanaoachia mapaja wanafunguliwa dunia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni ngumu sana mwanamke wa sasa kubana mapaja
 
All in all ni kumuomba Mungu tu atupe mwisho mwema. Maana unaweza ukaibana mwisho wa siku ukaolewa na bomu la machozi, haya maisha hayana formula.
Hahahahahhaha kitunguu maji ndio wengi huoa wanawake waliotulia wale! Sie ma rasta tunaokota malapu lapu ya wanawake full kuumizwa kichwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanamke akiwa na Taco na sura nzuri kwake ni viza ya kubadili wanaume kwa kadri atakavyo maana traffic ni kubwa huko DM! Inbox imejaa maombi so anajichagulia wale wenye disposable income anararuriwa wee in exchange of butters na material stuffs kama iphones shopping za hapa na pale safari za mbugani mpaka thamani iishe ikiisha anatafuta boya wa kufa nae!

Mfano mzuri Tunda yule malaya wa mitandaoni kameliwa sana na watu tofauti ile imefikia depreciation kampata boya wake Whozu kambebea mimba!
 
Tatizo uelewa umepungua sana siku hizi alaf upumbavu ndio ukaongezeka kwa kiasi kikubwa vichwan mwa watu
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Nahunga mkono hoja
 
Watakua wamekusikia.....
Ila katika ekspiriensi yangu hakuna watu wanaoteswa kama hao wanaojitunza wote me kwa ke, siku atakayopata sasa huyo mtu from heaven lazma linakua shababi fulani lenye ujinga kibao yani ni libinamu lake shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…