Nilijua hujamzoea ndo Maana umeleta Mada hii..
Kumbuka hawa wanawake wanapoenda kusoma mama zao huwaambia.
"Soma mwanangu ili mwanaume asikuangaishe"
Kwahiyo wanapachikwa chuki na Dharau kwa mwanaume atakaempata .
Kwahiyo Subiri kwa Mda wa Miaka kadhaa ndo Utaona kama anakupenda Ama La.
Kama atakupenda zaidi. Basi atakuwa 1 in 1000,000

mi hiyo statement ya soma usinyanyaswe na mwanaume yoyote niliambiwa na baba yangu na wala si mama
hapa nitarudi kesho hangover zikiwa zimepungua maana sasa nimekosa neno
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?
mwaya usisikilize wale wanaume wenye ego wanaoona wanawake ni kiumbe dhaifu hivyo kutawaliwa daima,wakiona mwanamke ana 'power' amejikomboa kielimu na kimaisha wanakuwa threatened......ukiwachunguza wengi mama zao walikuwa 'mama wa nyumbani' na baba zao kuwa wakali wa kila kitu hivyo baba kuogopwa nyumbani.....hii imewajenga na wao kuwa na mtizamo tofauti maishani kuhusu wanawake,WEWE KAMA HUYO DADA ANAKUHESHIMU ANAJALI HISIA ZAKO NA ANAKUONYESHA MAPENZI funga naye ndoa ule raha,kuna wanawake kibao hawajasoma na wana viburi vya kufa mtu!!!!.....usiogope sana future,we live for today for tomorow might never come....kama uko happy nae kwa kipindi hiki wewe jali hilo tu,kesho unaweza kufa...........lastly ukiwa naye jiamini na muamini yeye,usiwe insecure kwa vile kakuzidi utaenjoy maisha ukizingatia haya.....
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?
Heri wanaume tumeumbwa kuwatunza ninyi. Ila ninyi Mkipewa jukumu hilo ni Dharau,Kelele,Umbea mwingi. Mara umemweka kwenye CHUPA, Mara kwenye KIGANJA. Yaani ili mradi mjulikane hamjui Kulea mwanaume kama Sisi tufanyavyo.
Ubeijing unawauwa ninyi sema Hamjui. Na wanao waambia Haki za Wanawake unakuta Wengi wao hawana Waume au Walitendwa na Wanaume kwa hiyo wanapachika Chuki kwa wanawake kwa Njia ya HAKI SAWA, Kama hamjui hilo.
hakuna Mwanamke Mzuri kama Yule ambaye huyapuuzia Mambo haya ya Haki Sawa. Wanajua jinsi ya Kuishi Na Mwanaume. Mwanaume hutamkuta anaenda mbali na mkewe kila sa anapenda kumwona, Mwanaume hutamkuta ananyumba ndogo, Mwanaume anapenda kula chakula cha mkewe.
Mwanamke wa Beijing atataka Mwanaume naye Apike... Hata kama hana kazi na wala hajachoka ila Amejisikia tu.