Binti kanizidi kiiiila kitu

Kwan wewe unataka kumtegemea milele?cha mcngi kama wewe unampenda tafuta vya kwako ili na wewe umzidi,kama ni fedha fanya kazi kwa bidii uzipate,kama ni elimu hua haina mwisho ukitaka soma mpk uchoke ili nawe umzidi,simple and clear
 
My God! Uko sayari ya ngapi? Akikuchoka na anajeuri ya fedha unaweza kuomba utangulie mbele za Mungu. Jitahid usimame mwenyewe bila kumtegemea, hapo mtadumu.

Great thinker!!ni kweli huyo jamaa ajitahidi tu apambane sana ajiimarishe yeye kama yeye! SIO SIRI wanawake wa namna hiyo wengi wao huwa balaa baadae,kwa namna ninavyofahamu sisi jinsia mbili;wanaume huwa tunaweza kuishi na hawa wenzetu hata kukiwa na tofauti gani lakini sio wanawake yaani ni 2 katika 10, wengi wao baada ya kuishi kwa muda mrefu kwenye uhusiano wa utofauti wa namna hiyo huwa wanabadilika mpaka utashangaa!!AKILI KUMKICHWA HAPO!!
 


Wale wale lakini.
Nadhani hujasoma nilichoandika Vizuri.

Kwahiyo na wewe ungependa mwanaume ambaye atakutegemea ili uwe unamwambia akupikie


Mambo kama haya yanatokea na hakuna Ndoa inayodumu kama Mwanamke aki Dominate
 
Wale wale lakini.
Nadhani hujasoma nilichoandika Vizuri.

Kwahiyo na wewe ungependa mwanaume ambaye atakutegemea ili uwe unamwambia akupikie


Mambo kama haya yanatokea na hakuna Ndoa inayodumu kama Mwanamke aki Dominate

mbona mmekrem jaman? kwan lazma mwanamke akiwa na pesa au elimu kumzid mumewe ataonyesha dharau?co kweli kuna wengine hawana tabia hizo so msimjudge m2 bila kumfaham kwa undani! Kwan mbona kuna baadh ya wanaume huwanyanyasa wake zao kisa wana pesa?hao hamjawaona?
 

kazidiwa na urefu pia,sijui hapo utamsaidiaje.
 
nilishasikia kuwa wewe huwa unakula sana na hilo anakuzidi pia? , na ulikuwa na manyonya sana nayo pia kakzidi.....!

anakutumia tu but kizuri anakulipa vya maana kukutunza na kukutafutia kazi nzuri ni jambo zuri but isije akawa anakuzuga tu na wewe pia changamka utafute kazi wewe mwenyewe baadae vijimaneno visije tokea mbeleni...ila acheni uzinifu fungeni ndoa kwanza
 

mkuu!!
Women will just remain to be who/what they are!!. Sawa sio kwamba ni watu wabaya na men ni wazuri, no!!
But, at last yatatokea tuu!!, ''just by experience
ushauri wa bure! Get off that mahusiano!!
Otherwise kuta una enjoy, but get prepared!
 
Tumia hiyo nafasi vizuri. Staili zote maliza kwake.Uchafu wote wa kwenye internet mkuu. Tena uwe na spidi ya jet. Ila sio wa kuoa maana Siku moja utaambiwa u Mwanaume Suruali.
 
ndo pakutokea hapo tanguliza mguu mmoja ukiweka yote kuna hatari ya kuangukia pua.
 


Upendo wa kweli sidhani kama unaangalia vyote hivyo. Kuna dada mmoja mi namfahamu ni msomi na boss ofisini lakini mumewe ni mlinzi lakini wanaishi poa sana na hatujawahi kusikia migogoro ya aina yeyote ndani ya ndoa.

Kikubwa ni upendo na kila mtu kuikubali hali aliyenayo mwenzi wake.
 
Sioni kama kuna shida saaana! Ili mradi mnaelewana.. Na Muhimu ni kumtanguliza MUNGU katika mahusiano yenu... Mambo mengine yatafuata baadae....
 

Anaweza kuwa kakuzidi kila kitu, ila wewe umemzidi kimoja tena muhimu kuliko vyote "Uanamume"
So, itategemea how utaanza kumuhandle mwanzoni. Ukimfanya ajue kuwa unafeel inferior mbele yake then it'll be that throughout your marriage life if mtaoana, So make her see despite all she has, You still have balls to stand On.
 
dah hii kali,ila kiukweli itakulazimu kuwa fundi sana panapo majukumu ya kiume hasa yale ya usiku.Yani umpe vitu ambavyo popote atakapoenda hatavipata dats the only thng itakayokupa heshima na mwenyewe atakupikia chakula,sio wewe hela huna,elimu kakuzidi,uwezo wa kufikiri uko chini na nyakati za husiku huna faida hapo lazma ukwame bro
 
Most gals wenye uwezo,i mean wanaoweza kujitegemea huwapenda wanaume ambao ni wakawaida sana.kama mmeshagundua.Na wanapenda kweli duuh.Chamuhimu unachoangalia kwake,je anakudharau?,anakutreat vipi?,Anapenda kuongelea ongelea kuhusu uwezo wake?au yuko simple tu?.Kama anakupa heshima yako,anadiriki kukutafutia kazi,anakupenda sana.acha uwoga.Golden chance never kam twice.
 

Ukishaona mwanamke kakuzidi basi kakuzidi... hakuna cha dharau bali atakuwa anatumia ziada yake kukushauri au kukueleza jambo.. kwa vile kakuzidi basi kidume utaona ni dharau.

Kuweni flexible mpate wake ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…