Binti katuchanganya mimi na kaka yangu

Hahaaa kumbe ndo yule wa juzi aliyeharibiwa 0713 pole sana mkuu ila nakushauri kapime kwanza.
 
Haijalishi kama mwapendana endeleeni
 
Naona mwanamke kabaki peke yake. Mnapata faida gani kutunga?

Ha ha ha ha Kongosho.. Nilikuwa ninaendelea kusoma comments nilipofika kwenye hii yako imebidi nicheke lol.. Inamaanisha mtunzi wa simulizi hii ameitengeneza mwenyewe..!
 
Last edited by a moderator:
Wanatunga hadi wanajidanganya hisia zao wenyewe.


Kuna mmoja naye kule anasema anaskia sauti ya kuwa mfia familia, wenzao zamani walifia dini, yeye anataka kujinyonga ili afe kwa ajili ya familia, sijui kwa faida gani? Na hata hana hela ya kuandaa msiba wake wenyewe, kuwatia tu hasara za wali wa msiba wazazi.

Ha ha ha ha Kongosho.. Nilikuwa ninaendelea kusoma comments nilipofika kwenye hii yako imebidi nicheke lol.. Inamaanisha mtunzi wa simulizi hii ameitengeneza mwenyewe..!
 
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/605487-mdada-wewe-wa-one-night-stand.html

 
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/585017-mawazo-yananiua.html

 
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/546473-nitamwachaje-huyu-binti.html

 
Twende nikusindikize ukapime bado mapema maana huo msisitizo wa condom ndo unanipa wasiwasi
 
Yote yananichanganya. Lakini hili la kutumia condom ndio linaniua kabisa. Laaaah!
We Dogo kweli wewe matatizo unaenda na strangers bila ndom! katika karne hii yenge TV na Mabango kila kona? du watu wengine kweli mnakufa siku sio zenu
 
Swali la bro ni valid... ulitumia condom?!
 
Sasa unatunga story Ili iweje?
 
Kwa uzoefu wangu wanawake wapole wengi huwa maharage ya mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…