Binti katuchanganya mimi na kaka yangu


Ha ha ha ha lol.. Hii ni zaid ya mahoka.. Sasa ni kwamba wako kwenye mazoezi ya kuongopa au kuwa watunzi wa riwaya..? Maana ni ujinga kuleta habari ya kutunga hapa jukwaani.. Members wengi wanapenda kusaidiana kwa njia ya kupeana ushauri hapa so anapokuja mjinga mmoja na stori ya kutunga hawatendei haki members wote hapa jukwaani..
 
Kakako anataka kujua kama umeijua joto lake la ndani, so anawasiwasi utamchukua ww, pia kama dushe zinatofautiana binti anaweza kumake choice between you two. Bro anakuogopesha apo, ila kacheki afya kwanza ili uwe na amani.
 
Yote yananichanganya. Lakini hili la kutumia condom ndio linaniua kabisa. Laaaah!

Sasa mkuu utafanyaje mapenzi na mtu bila ya kutumia kinga hata kupima hamjapima?! Duh! Watu wengine ni risk takers hadi kwenye uzima wao! Ila usichanganyikiwe, first things first, go get tested then baada ya hapo mengine yatafuata, after all being infected isn't the end of the world, there are worse things in life.
 

Kajamaa kana roho ngumu sana asee yaani mtu msafiri huyo wangu waja kaoga bwawa chukuchuku!!!!!!!!!!
 
mmmh wewe mfirii then umuacheeee ukirokaaa hapo kpimeeee
 
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni ngoma live km hukutumia zana! Pole mkuu kupima nao ni mtihani lakini utafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…