Binti Makamba unatisha

Status
Not open for further replies.
mbona mtoto wa charles kimei anakula pesa za crdb huongei na wewe kila siku unapeleka ku deposit crdb??
Mwache mwamvita ale bwana kama wewe ungepata hiyo nafasi pengine ungefanya starehe more than her...au tatizo nini kutokea kwa blog??

Muraaaaa nini tatizo muraaaaaa
 
Arifu...unapimam vipi mtu kufanikiwa? kukaa kwenye hotel kubwa kwa pesa ya charity?
Au kuvaa CL?
Au unapimaje achievement arifu? mimi hapa ndio nakoma na wabongo aisee.....

when i said achievements i didn't reflect her personal lifestyle...i meant the company&the society..kama we ni mfuatiliaji makini utakubaliana na mimi kwamba tangu apate iyo post she has done so much for the company interms of CSR...a recent example ni hiyo heart foundation aliosaidia kuianzisha.....am out
 

Una hakika nachangia threads za Mange na Mwamvita tu? Unataka tuangalie threads nilizochangia leo? Kama huko on point kwa hili dogo tu tukutegemee vipi uelewe the intricacies of RP ethics and corporate responsibility?
 

Mwamvita halipwi mshahara au marupurupu kutoka kwenye hela za walipa kodi. Mwamvita analipwa na kampuni binafsi inayofanya biashara halali na ya hiari.

Isitoshe, Mwamvita ni mke wa mtu. Je, kama mumewe aliamua kum-spoil mkewe na mihela aende aka-splurge huko Dubai kwa nini wengine iwaume?

Kwa kweli sielewi kabisa.
 

Mtoto wa Charles Kimei simjui na wala sijui alilofanya, ndiyo kwanza nasikia kutoka kwako kwa hiyo huwezi kunilaumu kwa kutozungumzia hilo.

Na kwa kusema kila siku napeleka ku deposit CRDB wakati sina hata akaunti nao na sijawahi ku deposit kunaonyesha kwamba una bluff na hujui usemacho.

Tatizo ni kwamba watanzania wengi hatuelewi vitu kama professional ethics na corporate responsibility, halafu kesho keshokutwa wakija kutu-EPA hawa hawa utasikia kelele nyiiingi hapa. Kumbe uozo tunaufuga pole pole.

Maumivu ya kichwa huanza pooole pole, kesho keshokutwa akifumuka na mscandali kutokana na lax ethical standards huyu dada mumsifie hivyo hivyo.
 
Hahahaaa, unafikiri hata ntaweza basi? Itabidi nisimame tu na kuanza kulia. Labda wote watanionea huruma na kuja kwangu niliposimama maama kuchagua ntakuwa sina uwezo.

Ila pia wote watakuwa wazembe kukimbia. Unaanza na Mwamy anyeonekana anaweza kuwa mwepesi kukimbia, unamalizana naye kwanza na ukitoka hapo, unamkuta Nsia ndiyo kwanza kamaliza kilomita moja kukimbia. Unamvaa na kumuwekea Mkono na yeye kwa maneno yaleyale ya huko kwenu Wasukuma (Kumbuka Wadakama hatuna Chagulaga) .... "Chagulaga ng'wana Mayu".

Ila kwa Sababu Nsia alishakaa Mwanza, basi unaweza kuingia kwa gia ya Kisasa "Nalikuchora Mayu, kiyumbo Mayu......."
Ahahahahahaaa mami umepinda wewe! Mdada wa watu anang'ara bana khaaaaa.....hivi huyu na Nsia vipi? Ukiambiwa chagulaga mmoja....utachagua yupi?
 
Kama hamfurahii hamieni Airtell, Tigo, Zantel, na kampuni zinginezo ambako wafanyakazi wake hawali bata. Kwani Vodacom wako wao tu katika biashara ya simu?

Wewe kwa sababu si muwakilishi wa Vodacom unaweza kusema hivi. Mwamvita hawezi kusema hivi. Kitendo cha watu kujadili tu kwamba Vodacom inaingia doa katika image yake hapa hakitakiwi kupewa nafasi na mtu wa PR. At the very least anajionyesha hawezi kazi, na zaidi ya hapo anaonyesha Vodacom ni kampuni la watu wa ovyo ovyo tu.

Ila ingependeza zaidi kama mngewatolea mapovu hao wawakilishi wenu bungeni ambao compensation yao inatoka moja kwa moja kwenye jasho lenu.

Kuwapigia kelele wabunge hakutufanyi tusipigie kelele unethical behavior from our so called "PR" personalities.

Well hamjalazimishwa kutumia Vodacom. Lakini mnalazimishwa kukatwa kodi zenu ambazo zinaenda ku-sustain maisha ya hali ya juu ya wawakilishi wenu na watumishi wengine wa umma. Chagua mwenyewe hapo lipi ni la kulishikia bango zaidi ya lenzake.

Mbona campaign ishanza watu kutoka Vodacom?

Iwe ulimbukeni au la hilo ni suala la kimtazamo zaidi. Wewe unaona kalimbuka wakati yeye anaona anakula bata. Mimi nasema kulimbuka si jinai.

Kama unanisoma tangu mwanzo sijaongelea jinai, nimeongelea ethics. Big difference. Jinai si yardstick ya kuishi, kama ingekuwa hivyo tusingekuwa na ustaarabu mwingi ambao haulazimishwi kisheria.



Kama umenisoma kuanzia mwanzo naongelea the dichotomy ya image bearer wa kampuni inayojifanya kujali corporate responsibility na community involvement kwenda kujiparade anatumia an obscene amount of money by our standards. Sina tatizo na kazi zake na za Vodacom zinazolenga kusaidia jamii.
 
Una hakika nachangia threads za Mange na Mwamvita tu? Unataka tuangalie threads nilizochangia leo? Kama huko on point kwa hili dogo tu tukutegemee vipi uelewe the intricacies of RP ethics and corporate responsibility?
It's actually the opposite, angekuwa anfanya kazi kwenye mashirika kama CRDB (RURAL DEVELOPMENT bANK), Hapo ethically angekuwa kama anawa insult ultimate consumers/customers.

Kampuni kama Vodacom, sometimes huvutia wateja through the so called Classy behaviours kama hizo, ndiyo maana Hollywood, au Music moguls kama Puffy huwa wanatanua kuonyesha kuwa mvaaji nguo zangu, au mnunuzi wa miziki yangu ni mtu mtanuzi (an image that most people aspire to have).

Ndiyo maana Voda huwa wana Sponsor Beauty contests ili kutengeneza image fulani kwa vijana wanaochipukia. It all depends on the targeted customers/audience.
 
Hivi we jamaa ndiye mteja pekee wa VODACOM hapa Tanzania? Au huwa unatumia vocha za shs milioni moja kwa siku? Kwanza una uhakika gani kama Mwamvita ametumia hela ya kampuni kwenda kulia bata? Arguments zako ni za kitoto sana.

Hata kama si mteja pekee wa Vodacom, bado ni mteja.

Hata kama natumia senti moja, bado ni mteja. Na Vodacom kama wanajali growth hawawezi kujua kesho nina mpango wa kutumia kiasi gani. Kwa hiyo kudharau mteja mmoja ni poor business practice.

Mwamvita kazi yake ni kuuza sura kwa niaba ya Vodacom. Kazi kashindwa kwa kui taint image ya muwakilishi wa Vodacom kwenye viblog vya U-Turn, kuna watu wana ma beef na U-Turn huku wengine wataona kama Vodacom ina endorse U-Turn, watahama. Kuna watu wataona Vodacom haina corporate responsibility kwa muwakilishi wake mkubwa kuwa na lapse ya professional ethics na hivyo kukosa imani na uwezo wa Vodacom kama kampuni nzuri ya simu.

Kifupi demu kajionyesha si mtu makini na more like an airhead anayejua kuuza sura tu, tena hata sura yenyewe hajui kuiuza vizuri kwa sababu anaishusha thamani kwa kujiparade kwenye viblog vya udaku kama U-Turn.
 

Tofautisha corporate interests na personal interests. Mange ana uadui na watu kibao wateja wa Vodacom. Wakiamua kuimwaga Vodacom kwa sababu Mwamvita ambaye ni part ya brand ya Vodacom ana ji identify publicly na Mange unaona hiyo itakuwa ni prudent move kwa Mwamvita?

Ashukuru tu.

1. Tanzania ukiwa na jina kubwa unabebwa tu.
2. Watanzania hatujui mambo ya kufuatilia professional ethics na kubana watu kuhusu corporate responsibility.
3. Watanzania wengi wanajitia kupinga ufisadi huku kisirisiri wengi wanataka kuwa mafisadi/ parasites, ndiyo maana watu wengi katika thread hii wanaona hii debauchery ni kitu cha ku aspire to. Main theme ya blog ya Mange ni kuwashawishi dada zetu watafute wazungu wa kuwaoa, a defeatist attitude for the modern Tanzanian woman. No wonder Mwamvita and Mange click, they are both inclined to think in that parasitic mindset.
 
CTU una blog??? inaitwaje??? niitembeleee.....
 
Yaani hayo mawigi nikiangalia naona yanawafanya waonekane zaidi kama vinyago! Nway...najua wengine wanayapenda.
 
Mkuu Kiranga, kwanza habari za siku nyingi maana tangu wakati wa zile story za Ziwa Baikal, nilipoteza kabisa habari zako.

Ulichokisema kina ukweli fulani ingawa inategemea na uchumi wa Shirika/Nchi.

Nakumbuka wale Maboss wa yale makampuni ya Magari ya USA, walipoitwa Washington na kila mtu akaenda na ndege yake mwenyewe ingawa wote waliondokea mji mmoja, ilikuja kuzua kasheshe.

Kuna baadhi ya kazi ambazo kama wewe ni Public Figure, basi inabidi kuwa mwangalifu sana. Unaweza kukuta hata hao Maboss wake hapo Voda hawajawahi kufika hapo na wala hawaoti kufika na ghafla wanaona wewe mfanyakazi wa chini huko umefika. Ukisikia kesho wamefukuza kazi, utashangaa?

Kuna mifano mingi na hata film nyingi sana ambazo mfanyakazi wa chini anaanza kuvaa au kuendesha gari la bei mbaya na hapohapo maboss wake wenyewe wanaanza kumtumia wapelelezi kujua chanzo cha jamaa kuwa na pesa nyingi kama Mittal Brothers. Unaweza kufanya kwa siri ila huwezi kujianika waziwazi kwenye Internet.

Je namuonea wivu? Hapana na hata NAMPA HONGERA zangu na kufurahia kuona Mtanzania mwenzetu kafanikiwa.

Ila tu akumbuke, sisi tutasoma na kuondoka na sanasana tumefaidi Macho kwa alichofungasha nyuma. Ila wale Roho Korosho, wanaweza kuanza kula naye sahani moja hadi kuhakikisha wanamuweka chini.
Je aache kula bata? La hasha, maana maisha yetu ni mafupi sana na tunaishi mara moja. Ni kujua tu jinsi ya ku-Balance.
 

Sasa nimeshaanza kukuelewa hoja yako ya msingi. Sasa mbona umechukua muda mrefu sana kueleza machungu yako. Kumbe tatizo siyo Mwamvita kupiga picha hotelini ila kuzitoa kupitia blogspot ya Mange. Ndiyo maana nilisema wewe una matatizo yako binafsi na hiyo hoja ya ethics sijui nini ni pretext tu.
 

Ni kweli. Mwamvita hawezi kusema hivyo. Lakini kwa vile hawezi kusema hivyo, hiyo haiondoi ukweli uliopo. Na ukweli ninaouzingumzia ni ukweli wa kuwa huru kuchagua huduma toka kampuni zingine.

Mimi nishawahi kuvunja mkataba na Dish Network na kuhamia DirecTV kwa sababu sikupenda kauli za mmoja wa CSR wao. CSR alinibembeleza lakini nilisimamia msimamo wangu.

Kuwapigia kelele wabunge hakutufanyi tusipigie kelele unethical behavior from our so called "PR" personalities.

She works for Vodacom. If Vodacom doesn't see anything wrong with how she conducts herself outside of work then your noise won't matter. And I believe Vodacom has it's own code of ethics. The don't have to take their cues from Kiranga.

Mbona campaign ishanza watu kutoka Vodacom?

Campaign gani? Fire Mwamvita?

Kama unanisoma tangu mwanzo sijaongelea jinai, nimeongelea ethics. Big difference. Jinai si yardstick ya kuishi, kama ingekuwa hivyo tusingekuwa na ustaarabu mwingi ambao haulazimishwi kisheria.

Whose ethics are you talking about here? Your ethics or Vodacom's ethics? Last I knew many business entities have their own sets of ethics and codes of conduct. Mwamvita works for Vodacom. So long as she hasn't violated any of their ethics is all that counts.


Hela si zake kaka? Sasa asizitumie? Wewe si mbepari wewe? Au umegeuka mjamaa siku hizi? Anyhow, Mwamvita yuko kwenye private sector. Anafanya kazi na kulipwa mshahara. Huo mshahara ni haki yake. Na jinsi autumiavyo huo mshahara is none of anyone's business except maybe for her husband and daughter.

So I just don't get what your fuss is all about.
 
Yaani hayo mawigi nikiangalia naona yanawafanya waonekane zaidi kama vinyago! Nway...najua wengine wanayapenda.

Hahaha, umezibuka.

Si ndiyo wajanja wetu hao? Mi nikisema ulimbukeni watu wanabisha.
 
hatma yake VODA ni kesho, kishanuka hukoo! renee mezza anafagia vumbi lote VODA kesho, km mtamsikia tena, dietlof katumia weee, sasa MEZZA kaja kufanya kazi kseni mkso wa kula!
 
hatma yake VODA ni kesho, kishanuka hukoo! renee mezza anafagia vumbi lote VODA kesho, km mtamsikia tena, dietlof katumia weee, sasa MEZZA kaja kufanya kazi kseni mkso wa kula!

Ndo vijiba vya roho hivi! Nyie ndo wenye kufurahi mkimuona kafukuzwa kazi. Kufukuzwa kazi si mwisho wa maisha. Mlango mmoja wa fursa ukifungwa mingine ndo hufunguka zaidi.

Na sidhani Mwammy atafukuzwa kazi.
 
Hahaha, umezibuka.

Si ndiyo wajanja wetu hao? Mi nikisema ulimbukeni watu wanabisha.
kwa kweli hayo makitu siyapendi...huyu dada ni mzuri zaidi akiondoa hilo wigi....sasa huu ulimbukeni ni kansa mbaya sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…