Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Nakumbushia ulivyokuwa fired up kuhus Gov. Perry. Hahaha. Yani kuna tacky types fulani unazi embrace inashangaza, I guess ni ideology yako disguised as libertarianism.
Hiyo blog ya wadada wasio aibu wala maadili wanaotafuta waume wazungu, Makamba naye kashajiparade kwenye anga hizo za defeatist lowbro hoochie mommas, Vodacom PR rep or no.
Kiranga, Mwita na Nyani Ngabu. Nimefuatilia jinsi mnavyolumbana ktk thread hii. Thanks a bunch for making JF entertaining.
In my humble opinion, huyu dada mnaemzungumzia she seems to be a nice lady, na kuhusu kutanua huko kwenye vacations zake anayo haki kama raia mwengine yeyote yule. Ni haki yake kwenda kokote na kutanua atakavyo hata kama akienda Alhambra, CA....tunaoishi CA tunaijua Alhambra.........
Ila when it comes to prefessional ethics na corporate responsibility, kitu ambacho Africa hakipo, alitakiwa asijianike excessively namna hiyo kwenye mitandao sababu ina-affect the image and the reputation of the company....sema tu kinachosaidia ni kuwa Vodacom is not a fortune 100 company.
As I pointed out earlier, any PR executive from the fortune 100 company would be violating professional ethics kwa kujianika mitandaoni namna hiyo. I'm not talking about White House, I'm talking about corporate America and the rest of the corporate world.
Nilienda kuomba kazi na nikaipata kule Cisco Corporation na one of the conditions was to deactivate my Facebook account, imagine na mimi ni just a staff na sikuwa managerial level!
Kiranga unachoongea ni kweli kuhusu corporate responsibility and professional code of conducts....lakini ujue Tanzania na Africa hatuna kitu kama hicho kuanzia private sector hadi serikalini. Ni sawasawa na kumwambia waziri wa serikali yetu ajiuzulu kwa kuwa alikutwa na malaya mtaani.....tena na picha zikaanikwa on front pages za local print media......Hatojiuzulu sababu kwake kutanua na malaya ni sawa na vilevile it's not a big deal miongoni mwa wabongo hadi raisi aliemweka madarakani. Lakini nchi za watu hiyo ni kashfa na haina mjadala inabidi aachie ngazi!
Corporate responsibility and professional ethics ni muhimu kwa image na reputation of any organization lakini sio Tanzania na Africa.
Just my thought!
Ooookidokiiiiii..........
Huyu mdada kwa ufupi has shown herself to be extremely arrogant na isitoshe kuwa ni mshamba mkubwa.
Wazungu kwenye position kama yake huwezi kuwaona mtandaoni hata siku moja wamepiga picha za matanuzi huku wamesheheni begi la Loius Vuitton, haswa ukitilia maanani mdada alikuwa ni sauti kubwa ya Vodacom kwenye masuala ya kijamii kama Charity Work na shughuli za misaada kwa Wahanga, Yatima, etc
Pia kwa mtu mwenye high-ranking status kama yake kikazi ni muhimu angewafikiria co workers walio chini yake, kwani this kind of self-aggrandizement and seemingly opulent display would only have a negative, demoralizing effect on co workers.
Nelewa nilichoandika....nahisi bwana/bibi Babu M ndo hujanielewa......nilimaanisha ulipewa bure ukakitumie bure kama anavyofanya mwenzetu huyu
Sidhani aisee......Akija na kudai mnamuonea wivu atakuwa na hoja! Tena hoja yenye nguvu tu.
mhh...aisee..Halafu Vodacom ni private enterprise. Mshahara wa Mwamy hautokani na fedha za walipa kodi. Angekuwa Regia Mtema ndo kaenda huko na kufanya kufuru hapo ningeelewa. Lakini kumsakama Mwamy si haki hapa.
Sidhani aisee......
mhh...aisee..
Haya maneno sio wa kwanza kusema......sana sana ndio tunaitwa haters.....ila ni bonnge la inspire kwa mashori wanaosaka wazungu.....Huyu mdada kwa ufupi has shown herself to be extremely arrogant na isitoshe kuwa ni mshamba mkubwa. Wazungu kwenye position kama yake huwezi kuwaona mtandaoni hata siku moja wamepiga picha za matanuzi huku wamesheheni begi la Loius Vuitton, haswa ukitilia maanani mdada alikuwa ni sauti kubwa ya Vodacom kwenye masuala ya kijamii kama Charity Work na shughuli za misaada kwa Wahanga, Yatima, etc
Pia kwa mtu mwenye high-ranking status kama yake kikazi ni muhimu angewafikiria co workers walio chini yake, kwani this kind of self-aggrandizement and seemingly opulent display would only have a negative, demoralizing effect on co workers.
nashangaa tu......hi nchi kuna mambo yanatia wazimu kudadadeki......unajua huyu shori na mange ni bonge la role modo wa mashori kibao hapa town..ukiwauliza kwanini?......mkuu ujinga mtupu....hizi picha biliv me kawakimbiza sana mashori wa bongo.....kuna neno moja sio zuri ningewaita mashori wa Dar......Unaguna nini sasa?
nashangaa tu......hi nchi kuna mambo yanatia wazimu kudadadeki......unajua huyu shori na mange ni bonge la role modo wa mashori kibao hapa town..ukiwauliza kwanini?......mkuu ujinga mtupu....hizi picha biliv me kawakimbiza sana mashori wa bongo.....kuna neno moja sio zuri ningewaita mashori wa Dar......