Zingatia umri hapo juu. Nahitaji mpenzi ambaye tukiendana tutaoana, sifa awe mweupe maana mm n maji ya kunde kwahyo tuchanganye rangi, awe mrefu au wastani.
Awe tayari kupima afya, pia awe tayari kuishi mbeya maana ndipo nilipo.
Zaidi njoo inbox tuyajenge kwa muhitaji kama mm.