Binti mmoja

Keshakwambia yeye ni Mtoto Yatima,umeelewa sasa mkuu?
 
Yan we wawapi me mwenzio jana tu nimetoswa na leo naenda tena.

Usitegemee mteremko ndugu na hata kwambia kama ana kupenda!

We leo mwambia unampenda na husitegemee akubali hapo hapo ! Endelea kutengeneza mazingira lazima akukubali, usiogope mkuu!
Na huyo wako lazima aingie king i promise u! Fanya fast
 
Ni PM majina yake nikupe mtazamo zaidi....
 
Keshakwambia yeye ni Mtoto Yatima,umeelewa sasa mkuu?

yatima wanatongoza sana na sound zao utasikia mimi ni yatima nionee huruma.

Bora tumshauri aingie na gia hiyo!
 
Acha uoga mtoto wa kiume.. Mweleze tuu ...
 
Cha udomo zege mkuu, utamu wa ngoma lazima ucheze, kupigwa chini au kukubaliwa ni matokeo
 
Rusha ndoana acha kuzuga usijechelewa.
 
heeh, sasa siku zote hizo huwa mnaongea nini? rocket science, nuclear physics, mgomo wa madaktari or what? jipange kijana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…