Binti mpweke anahitajika

Ninae mmoja, ila mahari yake itabidi uwe houseboy wangu not less than ten years, mbali na mke wangu lakini.. usijeniharibia ndoa bure!!
 
Umeamua kutangaza nia kijana wangu....kila la kheri kwenye safari yako uliyoianza.
 
mtaani kwangu yupo, kweli ni mpweke, anafanya kazi katika ofisi ya serikali, tene ni mzazi hasa, ana watoto wanne aliozaa na wanaume tofauti, anaweza kuapply nafasi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…