ngumo kakola
New Member
- Sep 17, 2012
- 2
- 0
hallo jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 naishi mwanza natafuta binti wa kuoa mwenye sifa hizi mrefu wastani,maji ya kunde,asiwe mnene sana,mcha mungu.na awe anafanya kazi.kama yupo mwenye sifa hizi naomba ajitokeze.