binti mrembo ajitokeze

ngumo kakola

New Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
2
Reaction score
0
hallo jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 naishi mwanza natafuta binti wa kuoa mwenye sifa hizi mrefu wastani,maji ya kunde,asiwe mnene sana,mcha mungu.na awe anafanya kazi.kama yupo mwenye sifa hizi naomba ajitokeze.
 
Vuta subira watajitokeza.
 
mimi nasubiri mwaliko kwenye harusi tu!
 
anayejitokeza anyooshe kidole juu?
Au aingie kimkia mkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…