brasy coco
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 1,489
- 900
-Binti mmoja mrembo kutoka Afrika Kusini amesisimua mitandao jamii baada ya kujitokeza waziwazi na kukiri kuwa anaishi na virusi vya HIV
-Binti huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja ni thibitisho kuwa watu wanaoishi na virusi vya HIV wanaweza kuishi maisha ya kawaida na kutimiza malengo yao
-Wengi walitoa maoni wakimpa motisha huku wakimsifia kama aliyeshinda unyanyapaa
Tangazo la binti huyo liliwasisimua wengi mtandaoni ikizingatiwa bado kuna unyanyapaa kwa wanaoishi na virusi vya HIV.
Binti huyo kutoka Afrika Kusini na anayejulikana kwa jina Gcinniey Wase Mantungwen Coomaloe katika ukurasa wake wa Facebook alisema kuwa wengi wamekuwa wakitaka kumwona 'ana kwa ana' ili kuhakikisha kama waliyosikia ni ya kweli.
Aidha, alielezea kuwa hakuwa na wapenzi wengi na aliambukizwa virusi hivyo na "mpenzi aliyempenda na kumthamini sana"
"I'm HIV positive I wasn't sleeping around, I got it from someone that I loved so dearly n trusted but it turned out I trusted a wrong person, I forgive him n most of all I forgive my self for trusting too much" (Mimi ninaishi na virusi vya HIV. Sikuwa na wapenzi wengi. Niliambukizwa na mpenzi niyempenda na kumthamini. Hata hivyo, niling'amua baadaye kuwa nilimwamini mtu asiyestahili. Nilimsamehe na zaidi ya yote kujisamehea kwa kumwamini kupita kiasiView attachment 942769View attachment 942770