Binti mrembo auawa kisa facebook

Hassbaby

Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
26
Reaction score
2
Waungwana hizi social network tuwe makini nazo binti mrembo ameuwa baada ya kukutana na rafiki wa facebook ambae amekuwa mpenzi wake, wakiwa hotelini jamaa mwengine ambae alikuwa x wa huyo dem akatokea na kuanza kumkata mapanga mpaka kumuua, angalieni na watu mnaokutana nao jaman mtapotea
Tazama zaidi tukio zima hapa PICHA ZA BINTI

BINTI ALIEUAWA KINYAMA KISA FACEBOOK ~ Hassbaby's (Mapacha)
 
Si facebook si lolote ni selfishness ya wanaume na mfumo dume hapa
 
Si facebook si lolote ni selfishness ya wanaume na mfumo dume hapa

Unajuaje labda, binti alimwahidi jamaa atampa moyo wake halafu amebadili mawazo na kumpelekea mwingine, aliyepewa mwanzo ameamua kuchukua moyo alioahidiwa.

Ubinafsi haupo kwa wanaume tu, hata wanawake wanao. Kuna wa2 wakipenda wanapenda kweli wapo tayari kujitoa mhanga siyo kudhulumiwa penzi lao.
 
yalaiti napenda pasipo kifani
tofauti sizitilii moyoni
sikuachi Leo na kesho peponi.....

 
Fesibuku umeichomekea hapo kuilaumu tu. Angekuwa jamaa aliyekutana nae fb ndio kamkata mapanga ndio ungetupia lawama hapo lakini mdada amekatwa na x wake.
 
Hajauwawa kisa facebook, ameuwawa na X wake kisa mapenzi.

RIP.
 

Hakuna cha kupenda kweli, huo ni ujinga tu ndo unawasumbua baadhi ya wanaume we unashindwa kufanya mambo yako unaenda kufanya upuudhi kama huo kweli we zimetimia, unawaza future kweli? wakati huu si wa kupigania wanawake kama kweli mtu unajielewa, kuna mambo mengi ya kufanya na kufikiri si upuuzi kama aliyo ufanya huyu *****. think twice before act
 
hili tukio limetokea nchi gani?
 
Eti hii imetokea Tanzania au Nigeria? tupe taarifa zilizokamilika , aise jamani mapenzi kumbe ni hatari hadi nimeogopa jamani kumbe unaweza kujikuta umechukua maamuzi kwenye hasira na kufanya kitendo chakinyama namna hii. Oh hii balaa
 
 
hbr za kutengenezwa hazina mashiko.
Hi hbr iliandikwa kwenye Uwazi.sijasikia Kova akitoa maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…