Binti mrembo auawa kisa facebook

Kinachonikera mimi ni ile roho ya kinyama ya kumchinja mwenzio kama unachinja ng'ombe jamani!! Ingefaa huyo muuaji asipate mpenzi asilaniiiiiii......
 
aisee.... kukkosa akosee mmoja hukumu tupewe wote.... thanks

Pole! Ila wanaume mnashika bendera, angalieni tu msijeambukizana wote! Mi kuna rafiki yangu aliwahi chomwa kisu kisa kamkataa mkaka, nusura auwawe!!! Sasa sijui kumkataa/kumwacha bf ni dhambi ama nini? Sielewi....
 
hapo kuna mengi yanahusika,mapenzi ni mojawapo..feis buk haihusu
 
maskini,sasa unamuua kisa umemuona na mtu mwingine sijui umemzaa ww au unammiliki.
 
Mbona mwandishi unakuza mambo sana jaribu kufikiria kichwa cha habari. Sio kauwawa kisa FB bali kafumaniwa issue ya walitongozeana wapi haihusiki na mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…