Bupilipili
Member
- Oct 31, 2010
- 46
- 16
we vip si umependa binti bwana?sasa unauliza nini, utaambiwa mengine ambayo utakosa usingizi ndugu. stop this.
Ukimchunguza sana bata, huwezi kumla!
:focus:
Kaka unamuoa huyo binti tu na sio wanawake wa iraq wote, amini ya kuwa huyo ni binti mwema na usiache kumuomba Mungu ili asibadilike, awe ni binti wa kufanana nawe katika shida na raha!
Sayitaa
we unaoa kabila au msichana ..
Tuko bomba sana.
kila kona tumekamilika.
nini zaidi unataka kujua.
hii ni kwa matumizi ya baadayeeeee
chagua akupendae na ambaye anafaa kuishi nawe.
Kabila, sura, dini, sijuu miguu, uso, **** hayata kufikisha mbali..
asante
Ngoja nikuitie wengine wakusaidie, Dena Amsi, Preta, Nyamayao, Desi Dii.... nk
Aso'alowe desi rii. Fa'arta'ag
Nilijua hapa hautakosekana.....lol.....:eyebrows:...msalimie Catherinewe unaoa kabila au msichana ..