Binti mrembo wa ki-iraq


Shemeji,

Usihofu wee endelea kumuomba Mungu
 

umenikumbusha mbali wewe!!!!hanang'-manyara.kaka kama unaoa oa maana ni wazuri sana!!na kwa kweri umependa!!au na wewe unatoka sehemu ambazo wanatahiri wanawake?maana hakuna msichana muiraqw hata kama ana miaka 8 hajatairiwa!!ila angalizo kama uliloambiwa hawajui kukataa awe ameolewa au la!!huo ni uhakika hata afro dens anaujua!!!!ukimleta kwa wajanja watakusaidia tu maana wana mvuto!!!
 
Sifa zao..
1. Wanashoboka sana kwa wanaume hasa hasa ukiwa kabila tofauti na wao

2. Hawajui kukataa mtu,unamtnga leo,kesho anamkubali mwingine

3. Hawajui kumhandle mwanaume na kumkamata kisawasawa(i.e mapenzi kwao Division 0)

4. Ni wazuri kisura,bali kiumbo 0. Na wanatumia uzuri wao kukamata wengi, kama we ulivyomsifia hapo.

5. Hawana mitazamo ya Mbele kimaisha wanaangalia leo tu.

6. Hawajui dhamani ya pesa(matumizi si mazuri kiufupi)

7. Wanasifika kwa Umal***y

Ila sikukatishi moyo nakushauri mchunguze kwa mda mrefu ujue A-Z yake ndo Kama kuoa Ndo uone

Mwanaume wengi wanasema si wa kuoa ila wakuchezea tu,ili uonekane na we una mtu Mzuri

NOTE: Si wote ila ASILIMIA KUBWA WAPO HIVYO.
 
...naendelea kumuomba Mwenyezi...

af, binti kanihakishia "hajawahi kuguswa toka azaliwe"

kwa thread hii, una lako jambo wewe. hapa unataka watu waanze 'kuropoka' nafsi yako itulie kwa kupata ukitafutacho.

"kosea yooooooooooooooooooote lakini usikosee kuoa"
 
Mmmm hawa wa-iraq kwanza weupe peeeeee,pili vigeugeu sana na watu wa kushoboka,pili ukimleta dar tu watu wanakusaidia

muda na wakti umewadia.............nilijua tu hii maneno haitaisha hivihivi tu!
 

tayari wameshaaanza...............sisi wabongo!
 
We
umekutana na wangapi ? au ulichosema hapo umesikia, umeona au umeyapiti?
 
Mmmm hawa wa-iraq kwanza weupe peeeeee,pili vigeugeu sana na watu wa kushoboka,pili ukimleta dar tu watu wanakusaidia

unavichekesho eti ukimleta Dar..
Dar ndo nini ?? umeshindwa kazi unawasingizia wengine..
acha usaidiwe..
 
Aisee nimekumbuka kituko kimoja toka kwa friend wangu> Jamaa baada ya 'kumalizana' na mwanamke a kiiraqw, si akamwambia mwanamke 'amfute', maongezi yao yalikuwa kama ifuatvyo:-

Mwanaume: chukua basi kitambaa unifute

Mwanamke wa kiiraqw: Fyagia yako na mimi nafyagia yangu (futa nanii yako na mimi ntafuta yangu-jamaa alizoea kufutwa na mwanamke after orgasm, kwa mwanmke wa kiiraqw alinoa).

Jamaa alibaki kaduwaa tu. Mapenzi ya kiiraqw hayo.

Ila tuongee ukweli vidume, hawa wairaqw wamependelewa jamani kwa uzuri wa nje (phenotypically). Hakuna kabila linaloweza kuwafikia kwa phenotype.........sema tu kasoro ndo hivyo tena!
 
We
umekutana na wangapi ? au ulichosema hapo umesikia, umeona au umeyapiti?

kaka hayo ya kweli!!!!nimehishi nao,nawajua sana!!!!na pepo langu la ngono nimewatumia sana!!na prevalence ya HIV mpaka sasa kwao ipo chini!!!kwa hiyo ukishindwa waweza jilipua!!!!ebu fika mbulu,katesh,karatu!!!hizo ndio wilaya zao!!!!!!siku ukifika hakikisha unatumia!!utapata tu!!!
 
ULIZA WANAUME WA KI-IRAQ WATAKUPA JIBU ZURI SANA, take care
 
we vip si umependa binti bwana?sasa unauliza nini, utaambiwa mengine ambayo utakosa usingizi ndugu. stop this.

hehehe! tena humu JF atapewa majibu mengine yatamkatisha tamaa! kabisa! cha kufany amuangalie tabia zake! kama ameridhika naye ! good 2 go
 
we vip si umependa binti bwana?sasa unauliza nini, utaambiwa mengine ambayo utakosa usingizi ndugu. Stop this.


duh! Baada ya hii thread sijui msela kama ataoa tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…