kaka hayo ya kweli!!!!nimehishi nao,nawajua sana!!!!na pepo langu la ngono nimewatumia sana!!na prevalence ya HIV mpaka sasa kwao ipo chini!!!kwa hiyo ukishindwa waweza jilipua!!!!ebu fika mbulu,katesh,karatu!!!hizo ndio wilaya zao!!!!!!siku ukifika hakikisha unatumia!!utapata tu!!!
we unafkiri angekuwa ameridhika naye angekuja kuomba ushauri humu ndani..!??hehehe! tena humu JF atapewa majibu mengine yatamkatisha tamaa! kabisa! cha kufany amuangalie tabia zake! kama ameridhika naye ! good 2 go
Aisee nimekumbuka kituko kimoja toka kwa friend wangu> Jamaa baada ya 'kumalizana' na mwanamke a kiiraqw, si akamwambia mwanamke 'amfute', maongezi yao yalikuwa kama ifuatvyo:-
Mwanaume: chukua basi kitambaa unifute
Mwanamke wa kiiraqw: Fyagia yako na mimi nafyagia yangu (futa nanii yako na mimi ntafuta yangu-jamaa alizoea kufutwa na mwanamke after orgasm, kwa mwanmke wa kiiraqw alinoa).
Jamaa alibaki kaduwaa tu. Mapenzi ya kiiraqw hayo.
Ila tuongee ukweli vidume, hawa wairaqw wamependelewa jamani kwa uzuri wa nje (phenotypically). Hakuna kabila linaloweza kuwafikia kwa phenotype.........sema tu kasoro ndo hivyo tena!
Kwanza kabisa mimi ni dada.
Pili kaombewe hilo pepo lako la ngono.
Mbulu, Katesh, Karatu, Hydom, mamaisara, Dongebesh, yaeda chini kote huko nyumbani
Halafu acha kututangaza kama tu nguo za mitumbani, shika adabu yako.
Nashangaa sana wanaopenda kusema makabila ya wenzao kuwa sijui malaya na blah blah blah blah utafikiri wao makabila yao hao wanawake wao ni malaika
Ni nani alie perfect dunia hii??
au ni nani asie na kasoro?
nimeipenda hiyo!!!yaeda au Dareda?mh usikasirike bwana!!!ila mlinitunza kijana wa watu!!!!UNANIKUMBUSHA MBALI WEWE!!CMSC,nikienda haydom,natulia hapo nilikuwa na toto la ukweli!!!!!ahhaaaa ntarudi tena mie!!!!!!!!
bi mkubwa acha hasira!!!!!!wengine twakumbuka mbali kweli!!!!!imagine hujaoa!!!una kazi yako nzuri!!!kijana mdogo!!asubuhi wafuatwa na gari,jion warudisha!!!na una pepo la ngono!!!!kwako upo peke yako,nyumba self contained!!!!!walahi nilifaid!!!!
Maana yake hapa sasa watu wanataka kufanya kuwa wao ni bora kuliko wenzao...some people manNdo hapo hapo sasa vichekesho.
wanachungulia magunia ya wengine kumbe yao
yameja magunzi matupuuu..
Cha aajabu ni pale mtu anapochanganya watu wote wa kabila moja..
na wakati kila mtu amekulia na amezaliwa kwenye familia na mazingira tofauti ..
mi wala hata sija kasirika.
bado najifunza jinsi ya kukasirika ..
Kwa raha zako ..
hii ipo kila kona ya TZ si Manyara tu.
mh haya bwana!!!!!!!!utakuja lini Endasak?
hahahahahah em acha kunchkesha.
ahhhh mi niko Gidas karibu. sijui hata umewahi sikia hilo jina..
Sikukuu hii ya Krismasi na Mwaka Mpya nitaenda kutembea Mbulu baada ya hapo Katesh nikifika hapa Karatu sijui Dena nitamkuta then nitasogea zangu Hydom kwa Blaki Womani ili anipeleke mamaisara na Dongebesh kisha namalizia yaeda kwa Preta
We
umekutana na wangapi ? au ulichosema hapo umesikia, umeona au umeyapiti?