Wanajamii, nahitaji msaada wenu ktk hili.
...umepita mwezi mmoja sasa toka nikutane na binti mrembo toka kabila la Wa-iraq wanaoishi karatu...aisee ni binti mkali sana na mzuri wa moyo...(kwa kipindi hiki toka nimfahamu) kwa kudra za Mwenyezi naendelea kuomba awe mke wa ndoa.
Nauliza, mabinti wa kabila hili la wa-iraq wakoje yaani uhalisia wao kabisa...maana wahenga walisema "Ukipenda shirikisha walio nje ili upate kitu sahihi"
Tafadhali, mwenye ufahamu na mabinti wa kabila la wa-iraq anisaidie...
Nawasilisha wadau wa jukwaa!!!!
sikujua, kumbegarma wii yaa .. Faaroqwo..
Kung garma oo ako??
Huwa nazichukia sana thread zinazoongelea tabia za makabila. Wengi huzitumia kusemea vibaya makabila ya wenzetu. Haiwezekani kila kabila linalouliziwa hapa linamapungufu tu! Humu kuna watu waliooa na walioolewa lakini utadhani hawajaoa wa tz maana humu kila aliyetoka kwenye makabila yetu hana sifa nzuri.
I hate this. Period!
Twende unisikindize basi....:eyebrows:Kwa raha zako, ukikosa mwali huko........mh??
Mkinionea Dena mwambieni nitapita mitaa ya Hydom na Katesh
Dareda mission,Dareda kati,Masakta,ila Gidas nilipita tu.hahahahahah em acha kunchkesha.
ahhhh mi niko Gidas karibu. sijui hata umewahi sikia hilo jina..
Dada afrodenzi mi huwa naipenda sana avatar yako..........ningependa kuamini kuwa umeichagua kwa kuipenda....au ungependa uonekane hivyo......na pia ningeamini kuwa wewe ulivyo ni sawa na unachoongea......nilikuwa tu napenda nikuulize kwa uzuri tu......kuhusu ile mila ya kukeketa mabinti kama ipo kwenu..yaani wairaq.......siulizi kwa mabaya bali kwa uzuri tu kwani ninafanya study yangu juu ya haya mambo na nimefika kwa baadhi ya mikoa kama singida nimekusanya taarifa nzuri tu kutoka kwa mabinti waliofanyiwa hii kitu.Kwa kuwa hili ni jambo la kimila mara nyingi wahusika hawapendi kulizungumza lakini kwa dunia ya leo hili swala si la kuficha na la kupingwa kwa kila hali na uwazi.....ni wadada wachache sana ambao utakutana nao wakwambie kwao wanakata(keketa)au wao wamekeketwa........lakini kwa kuwa humu jukwaani naona mko nyie mnaotoka haya maeneo wanayosema hii culture ipo basi ingekuwa vizuri tulijadili hili swala............................Ndo hapo hapo sasa vichekesho.
wanachungulia magunia ya wengine kumbe yao
yameja magunzi matupuuu..
Cha aajabu ni pale mtu anapochanganya watu wote wa kabila moja..
na wakati kila mtu amekulia na amezaliwa kwenye familia na mazingira tofauti ..
Dah,unajua hizo mitaa?Endasaki,Sabilo,Gedewari,Hydom sikufika ila napafahamu sana tumati,dongobeshi,....Mkinionea Dena mwambieni nitapita mitaa ya Hydom na Katesh
Wanajamii, nahitaji msaada wenu ktk hili.
...umepita mwezi mmoja sasa toka nikutane na binti mrembo toka kabila la Wa-iraq wanaoishi karatu...aisee ni binti mkali sana na mzuri wa moyo...(kwa kipindi hiki toka nimfahamu) kwa kudra za Mwenyezi naendelea kuomba awe mke wa ndoa.
Nauliza, mabinti wa kabila hili la wa-iraq wakoje yaani uhalisia wao kabisa...maana wahenga walisema "Ukipenda shirikisha walio nje ili upate kitu sahihi"
Tafadhali, mwenye ufahamu na mabinti wa kabila la wa-iraq anisaidie...
Nawasilisha wadau wa jukwaa!!!!
Sayitaa
kule kwa akina kameruni nawewe unaoa tu, wala hakuna shida we hamia tu.hata mimi ningekuwa mkaka ningeoa mu-iraq
bado daffi sasa sijui itakuwaje hapo kwa dadake kupendwa na ankoli bupilipili..:confused3:
ila ni wepesi kusahau kile mnachokubaliana, ushauri wa kimaisha kiukweli sifuri, akikosa mwepesi kuomba msamaha.