Binti mrembo wa ki-iraq

nimeipenda hiyo!!!yaeda au Dareda?mh usikasirike bwana!!!ila mlinitunza kijana wa watu!!!!UNANIKUMBUSHA MBALI WEWE!!CMSC,nikienda haydom,natulia hapo nilikuwa na toto la ukweli!!!!!ahhaaaa ntarudi tena mie!!!!!!!!

ulimaliza internship salama kweli ww?
 
Dah,unajua hizo mitaa?Endasaki,Sabilo,Gedewari,Hydom sikufika ila napafahamu sana tumati,dongobeshi,....


Usisahau kufika Saayo kama mbali hata Sanu basi ni karibu na town ya Imbolu sawa??
 
Hivi reserach gani mnafanya mpaka "mnaconclude" kwamba kabila fulani ni malaya, na kuzipachika tabia zingine chafu karibu kabila zima?

Anyway nijuavyo mimi tabia chafu zipo kila sehemu duniani.

Hizi hukumu ni vizuri kama mngezielekeza kwa watu walio karibu yenu, kwa sababu ukichunguza kwa makini unaweza kuta wewe, dada yako, mama yako, shangazi au baba yako etc., ndio ****** kwisha kazi! Kama sivyo shukuru.
 
Awa wamekunywa maji ya mb...o!
 
wa iraqw, warangi,wambulu, wanyaturu,wanyiramba ni kama jamii moja. Jf bana mpaka hapa sijui kama jamaaa ataoa tena,yaani mmesiliba mno.
 
kuna watu wanasema binti wa ki-iraq ni maharage ya mbeya... ni kweli?

Ni kweli hata mimi nawaogopa, nimekuwa na ka housegirl ka miaka 18 juzi kamenitaka nikakatimulia mbali. Hawafai wengi wao japo siyo wote
 
Naomba pia mniambie kwa WANAUME wa ki-iraqw wakoje pia.
 
wa iraqw, warangi,wambulu, wanyaturu,wanyiramba ni kama jamii moja. Jf bana mpaka hapa sijui kama jamaaa ataoa tena,yaani mmesiliba mno.

Duh hii kali nilikuwa sijui. Wewe siyo GT. No research no right to speak.
 
Unataka kuoa kabila?!!!!!! teh teh. Kuna washikaji wakiraqw walikwepa kuoa kabila lao leo wanajilaumu. wapo walioa wairaqw wenzao pia wanajilaumu. Tafuta mtu unayeenda naye kwa mapenzi ya Mungu.
 
Usisahau kufika Saayo kama mbali hata Sanu basi ni karibu na town ya Imbolu sawa??
Miaka miwili high school nilisoma pale imboru karibu na sanu seminary,teh teh sijui kama umesikia kuna
mtaa wanaita aya maami
 
wa iraqw, warangi,wambulu, wanyaturu,wanyiramba ni kama jamii moja. Jf bana mpaka hapa sijui kama jamaaa ataoa tena,yaani mmesiliba mno.

Ni bora kunyamaza kuliko kuonekana mjinga hiyo red ndo kabila gani???

Hakuna kabila hilo kwetu utakuja kusema Wababati, Wakaratu, Wadareda nk

Ujipange upya umechemsha na kusema makabila ya watu hovyooooooooooooooo
 

Niko na wewe mia kwa mia dada!
 
Miaka miwili high school nilisoma pale imboru karibu na sanu seminary,teh teh sijui kama umesikia kuna
mtaa wanaita aya maami

Nina hakika utakuwa umewahi kusali lile kanisa Katoliki la Imbolu ni kubwa hilo sijawahi ona aisee
 
Dasu doren orkee.

Nimesoma mengi yaliyoandikwa humu kuhusu binti wa Ki-Iraq, naomba nieleze hadithi fupi kuhusianisha na jinsi watu walivyowaelewa binti zetu. " Kuna vipofu fulani walikutana na tembo (aliyekufa) na kila mmoja wao akagusa sehemu fulani ya mwili wa tembo. Baadaye kila mmoja wa hao vipofu alielezea jinsi tembo alivyo: mwingine alisema kuwa tembo ni kama ngao (aliyegusa sikio) na mwingine akasema tembo ni kama nyoka mkubwa (yule aliyegusa mkonga)".

Kila mmoja wa wale vipofu alimwelezea tembo kutegemea sehemu aliyoigusa na hivyo ni ukweli kuwa yale waliyosema ni ukweli ila ni kipande tu cha ukweli kulingana na sehemu aliyoigusa. Kila kabila lina mazuri yake na mapungufu yake kutegemeana na utamaduni wake na mazingira yao. Mapungufu (yale ya kweli) ya dada zetu tuyachukue kama changamoto na nina imani watayafanyia kazi. Kwa yale mazuri yaliyotajwa wamshukuru Mungu.

Kitu kimoja ambacho ninapenda kutahadharisha ni kuwa wengine wametaja sifa zingine kadiri kila mmoja alivyokutana na mmoja wa binti hao hivyo siyo ukweli kwamba ukweli wote uko hivyo.
 

Umesomeka vizuri wa kwetu!Lawo dook!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…