we unaoa kabila au msichana ..
Tuko bomba sana.
kila kona tumekamilika.
nini zaidi unataka kujua.
hii ni kwa matumizi ya baadayeeeee
chagua akupendae na ambaye anafaa kuishi nawe.
Kabila, sura, dini, sijuu miguu, uso, **** hayata kufikisha mbali..
asante
Ngoja nikuitie wengine wakusaidie, Dena Amsi, Preta, Nyamayao, Desi Dii.... nk