Binti mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi

spidernyoka

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
7,557
Reaction score
20,477
Habari zenu wakuu

Namleta kwenu msichana umri wake miaka 24 elimu yake kidato cha nne ana experience ya kazi kama hotelia.
Yupo tayari kufanya kazi yoyote ya halali isipokua barmaid namfaham ni mwaminifu na ana muonekano mzuri (anaweza kupambia biashara kama za uwakala mikahawa) Naomba kwa hisani yenu anayeweza kumsaidia aungane na mimi kumsaidia

Namba zake
0714 948 315
 
Sawa ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kuweka tu picha yake hapa ntampa mafuriko alaf na kazi hatopata
 
Kama ataweza kufanya kazi za ndani kwa mshahara wa 63k kwa wiki. Niko mwenyewe gheto. Kikubwa ajue kupika na kufua
 
Kama yuko kigambnoni kuna jamaa alikuwa leo asbh anatafuta cadhiet
 
ndugu mleta mada. msaidie huyu ndugu yako kwa kumjazia form ya maombi ya kazi Yapi Markez. kwa sasa wanahitaji watu. Makutupora-Tabora. akifanikiwa kupata huko utakuwa umeisaidia mpaka jamii inayomzunguka. ingia ktk website yao. fanya maombi pale..
 
Sjaona kwenye website nisaidie hio link
 
Back
Top Bottom