spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Sawa ndugu.Habari zenu wakuu
Namleta kwenu msichana umri wake miaka 24 elimu yake kidato cha nne ana experience ya kazi kama hotelia.
Yupo tayari kufanya kazi yoyote ya halali isipokua barmaid namfaham ni mwaminifu na ana muonekano mzuri (anaweza kupambia biashara kama za uwakala mikahawa) Naomba kwa hisani yenu anayeweza kumsaidia aungane na mimi kumsaidia
Namba zake
0714 948 315
Kwangu itakua ngumu kumjibiaOndoa mawasiliano Bora mwenye uhitaji awasiliane na Wewe
Muhuni mkubwa weweKama ataweza kufanya kazi za ndani kwa mshahara wa 63k kwa wiki. Niko mwenyewe gheto. Kikubwa ajue kupika na kufua
[emoji23][emoji23] Hapana mkuu, yeye kazi yake itakuwa ni kupika na kufua tu. Hayo mengine situmiagi
Cashier wa kitu gani mkuuKama yuko kigambnoni kuna jamaa alikuwa leo asbh anatafuta cadhiet
Sjaona kwenye website nisaidie hio linkndugu mleta mada. msaidie huyu ndugu yako kwa kumjazia form ya maombi ya kazi Yapi Markez. kwa sasa wanahitaji watu. Makutupora-Tabora. akifanikiwa kupata huko utakuwa umeisaidia mpaka jamii inayomzunguka. ingia ktk website yao. fanya maombi pale..
google mkuu, link sina lakini namaanishaSjaona kwenye website nisaidie hio link