Binti mwenye sifa hizi ajitokeze

ngumo kakola

New Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
2
Reaction score
0
salaam wana JF mim ni kijana mwenye umri wa miaka 26 natafuta binti wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, awe na umri wa miaka 20-25,rangi maji ya kunde,asiwe mfupi sana wala mrefu sana,asiwe mnene sana,elim kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe anafanya kazi,kama yupo ajitokeze'
 
Wewe umeingia choo cha kike!
Kuambiwa tu ujitambulishe umeamua kutafuta mke,daah!
Anyway,nenda jukwaa la Mapenzi,Mahusiano na urafiki,huko unaweza kutafuta huyo unayemtafuta.
Karibu Jf.
 
Karibu sana JF. Nenda jukwaa la MMU utawapata wapo wengi tu wakiongozwa na sweetlady.
 
Last edited by a moderator:
karibu JF,najua thread yako ya pili itakua kushukuru kumpata mwenzi then ya tatu itakua kushukuru umefunga pingu za life
 
Umri upo mbali ??? una hakika???.....afu bahati ya mtu huwezi jua hata kama wana watu wao bahati inaweza kumwangukia kijana tehe!

Sweetlady mwambie huyo mgeni Tunaweza kuoana kwa Mkataba kama dau lake liko njema,
Nitampumzisha Rutta wangu kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…