Uchumi TV
Member
- Apr 11, 2023
- 33
- 31
Huyu binti Ngwasi wengine wakiumuita Mwasi ni mbunge kupitia vijana na anatokea mkoa wa Mwanza. Pia ni mwanasheria ambaye aliwahi angaziwa ahapa JF kupitia uzi huu.
www.jamiiforums.com
jana katika mkutano wa CCM sijui kama alipangwa au ni kwa bahati lakini hoja yake inaingia katika historia pale hoja yake ilivyobadili kabisa upepo wa kisiasa ndani ya chama hicho hadi kubadili ratiba na agenda za mkutano mkuu ulipogeuka na kuongeza agenda za kuwateua wagombea urais bara na zanzibara pamoja na mgombea mwenza.
unaweza kutazama uwezo na ujasiri wa binti huyu na kilichotokea katika mkutano huo.
Swali kuu ni. Alipangwa au ilitokea kwa bahati tu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=LCG3vC0XXGQ&t=161s
N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met
Mtu hajawahi tatua hata kesi ya panya na paka unamwita brilliant labda kama hilo neno huijui maana yake, uchawa mwingine Hadi unakuwa chizi