Binti pekee wa Michael Jackson asema babake aliuawa

Acheni umbea, mtoto wake kabisa, uzungu ni imani siyo rangi (race).
 
MICHAEL JACKSON. ..RIP. ...THAT IS ALL. .
 
kat williams alisema "f*ck michael" how can you have a baby and name him blanket? aint no nigger call his baby baby blanket
 
Hata ngoma ya dirty Diana yenyewe ilikuwa diss ya wazi wazi Kwa Diana mwenyewe baada ya Michael kukata tamaa kabisa na penzi la Diana.

Weka mistari yake afu tuone!
 
inasemekana michael alikuwa hafunction kwa hiyo mbegu zake haikuhusika kutafuta watoto
 
Huyu binti michael alibambikiwa,sijaonaga chotara wa dizaini hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…