Binti ukipendwa pendeka

Binti ukipendwa pendeka

BenElohimy

Senior Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
181
Reaction score
222
Ukipendwa pendeka
Ukiumizwa usipende tena ili uumize na wewe
Usiposamehewa samehe na usahau.
 
Mh! Mi mwenyewe nahitaji faraja!
Anyway ujumbe wangu kwake ni kuwa mapenzi ni Kama mapengo Kuna muda yanawasha Kuna muda yanatulia! Na kunamuda yanajijua hayawezi kutafuna mfupa ila yanang'ang'ania tu!,mwisho wa siku fizi zinakuja jf kulalamika..😂
Poleni sana 😂
 
Back
Top Bottom