Binti wa kaz za ndani au dukani

Binti wa kaz za ndani au dukani

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Age 2004,kabila mhehe,kiwango anachotaka cha salary kuanzia 100000.Karibuni inbox
 
Kwenye umri hujaeleweka, una miaka 2004 au umezaliwa 2004
 
Kwanini usiweke umri kabisa, tukifuata protocol ya uandishi hapa umefeli maana unampatia mwajiri wako kazi ili afikiri na kutoa majibu
 
Ha ha haa,wewe una mengine uwazayo mkuu
Hapana,hayo mengine sio tatzo ila kama ni kazi ya dukani na mshahara ni laki 1 plus ni muhimu awe 18+ Ni mtazamo wangu tu.Anafikisha 18yrs lini?Kuna mtu anaweza mpatia kazi.
 
Hapana,hayo mengine sio tatzo ila kama ni kazi ya dukani na mshahara ni laki 1 plus ni muhimu awe 18+ Ni mtazamo wangu tu.Anafikisha 18yrs lini?Kuna mtu anaweza mpatia kazi.
Mwakan
 
Back
Top Bottom