Habari wanajamvi!
Nina ndugu yangu wa karibu sn amebahatika kupendana na binti wa kichaga. Wapo katika hatua za awali kwenda kupeleka posa huko Marangu kwa wazazi wa huyu dada!
Swali:
Je tujiandaeje kwa ajili ya kupeleka posa hiyo kwa namna nyingine ni vitu gani tuviandae ikiwa ni pamoja na vile vya kimila ili kufanikisha zoezi hili muhimu tusije kosa mke!
Naomba kuwasilisha kwa mchango!
Asante.
Debe tano ni zamani, last month tulimsindikiza mkaka mmoja kupeleka posa nkashangaa manake aliambiwa mbege debe 48, mbuzi 5, na makorokoro kibao. Kwa mahesabu ya haraka anahitajika kupeleka kama 1m na zaidi manake wamempigia mahesabu ya debe 1 ya mbege times 48.. Na hapo huyo binti wanaishi wote na wamepata mtoto mmoja ( ana 6 month)...huko ni marangu pia.mbege lazima kama debe tano,mbuzi. vingine nimesahau ngoja wadau wafike.
Debe tano ni zamani, last month tulimsindikiza mkaka mmoja kupeleka posa nkashangaa manake aliambiwa mbege debe 48, mbuzi 5, na makorokoro kibao. Kwa mahesabu ya haraka anahitajika kupeleka kama 1m na zaidi manake wamempigia mahesabu ya debe 1 ya mbege times 48.. Na hapo huyo binti wanaishi wote na wamepata mtoto mmoja ( ana 6 month)...huko ni marangu pia.
hizo debe 48 wanakunywa ukoo mzima?
we si unataka mke, toa tu hizo debe 48 usitake kujua wanakunywa wangapi. Toa hiyo pombe chukua kinyoya chako yaishe uende ukaanzishe genge then duka mtoto akuletee maendeleo na maisha yaendelee. Wamarangu wako poa tu hawana kwere!
hizo debe 48 wanakunywa ukoo mzima?
Ukoo mzima pia bado hawatazimaliza, labda wanawagawia na majirani...afu hawataki mbege live, wanataka pesa mf. Debe 1 inauzwa sh elfu 30, unafanya 30'000 times 48 then unawapa cash yao... Papo kwa hapo zilinunuliwa debe 5 za ukweli afu ndio akaambiwa hizo 48 zilizobakia alete pesa... Ila labda itakuwa ni tofauti kati ya ukoo na ukoo..hizo debe 48 wanakunywa ukoo mzima?
msisahau mgolele wa babu na kilemba cha bibi
Lizzy blanket sijui na kapu la mama hivyo vyote hotolewa siku ya send off.Na marafiki + majirani unawaacha wapi?
Msisahau blanket, nadhani la bibi au sijui mama mtu.