Mh! Yani sielewi mtu anaoa anakuja kuuliza mahari ajiandaeje, tena jf! Hi inashangaza. Kwa taarifa tu kukusaidia, uchagani mahari huwa haishi, sikuhz tu wanachakachua. Si una mshenga, utaratib mshenga wako ndo anawajibu wa kukutafutia taarifa muhimu. Na wewe kama ndo unaenda kwa mara ya kwanza huendi na mahar, una kwenda kujitambulisha, baada ya hapo ni mawasiliano ya wazazi kwa mahari nk. Sio wewe tena! Until fadha notisi