Binti wa Kitanga Mrembo Anahitajika...

Binti wa Kitanga Mrembo Anahitajika...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
jina langu Zubedayo Mchuzi.
Kabila langu Msukuma
Rangi Mweupe
Body Si Mnene wala Si mwembamba/ mwili wa Mazoezi.
NATAFUTA-MCHUMBA

NATAFUTA-Natafuta binti wa kitanga (18-26) aliezaliwa na kukulia TANGA,awe si Mwemba wala Si mwenene,Maji ya kunde,Namba 8 kwa mbali yaani awe na umbo la kichokozi,aliefundwa na kufundikwa kweli kweli.Dhumuni ili awe Mchumba then MKE.
Alietayari Ani PM kwa Mawasiliano zaidi.
Sibagui dini wala kabila
Kama hausiki kaa pembeni...
 
Mimi mtanga nina sifa zote, ila nina watoto 3 kila mmoja babake, naweza apply?
 
mimi ni ME mzaliwa wa tanga, dada yanga anasifa zote hizo, hujaweka wazi nini malengo yako na mtu mwenye sifa hizo!!!
 
Kumbe kuna makuwadi humu ndani, doooh jf
 
Asalam alykhum Zebedayo. Mie naona sifa nnazo. Natuma maombi vipi la azizi. Kwangu kila kitu utapata wallahi utapata mengi. Nimezaliwa na kukulia kwanjeka
 
Nlifikirigi Zubeda ni SHE,
Kumbe HE!!!!????
 
Back
Top Bottom