Binti wa kuolewa anahitajika

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
627
Reaction score
181
Kwa uchumba na kisha ndoa nahitaji rafiki mwenye vigezo vifuatavyo:
1. Awe amehitimu form 4 au chuo chochote
2. Asiwe mnene wala mfupi sana
3. Asizidi miaka 28
---Kazi yangu ni mwalimu na nitafurahi kama yupo mwenye vigezo hivyo anipm au meseji kwenye simu no. 0784-678093
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…