Katika hali isiyo ya kawaida binti wa miaka 11 anayesoma darasa la sita alibakwa na babu zake wawili wenye zaidi ya miaka 50,tukio hilo lilitokea nyakati mbili tofauti wakati tukio la kwanza alibakwa mwezi wa 7 tena akabakwa mwezi wa 10,kwa mujibu wa mama wa mkazi wa Mbezi maramba wawili alitoa taarifa kituo cha polisi lakin ndugu za mume wake wamemjia juu mama wa mtoto kwa kutoa taarifa za siri hadharani ambapo mpaka sasa kuna malumbano makali baina ya mama mtoto na ndugu wa mume wake. source:THE AFRICAN