Binti wa miaka 19 akamatwa kwa kumuua mpenzi wake

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Polisi wanamshikilia binti huyo kwa tuhuma za mauaji. Inaelezwa kuwa wawili hao walikuwa kwenye mgogoro kuhusu fedha anazopata Mwanaume huyo

Mwanaume huyo alifariki wakati akikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Longisa baada ya kujeruhiwa kwa kisu shingoni

Baada ya upekuzi wa Polisi ndipo kisu kinachoaminika kutumika kilikutwa kwenye nyumba wanayoishi

====

Police in Bomet are holding a 19-year-old girl who reportedly surrendered to the authorities after stabbing her boyfriend to death over his daily wages.

The suspect is believed to have stabbed her boyfriend in the neck at Kapkwen area, Bomet County on Sunday.

Police report indicates that the two lovers were involved in an altercation before the teenager stabbed the man using a kitchen knife.

According to police, the two reportedly quarreled over some cash the man had earned from his manual labour work.

The deceased succumbed to injuries while being taken to Longisa County Referral Hospital.

The murder weapon was retrieved as police commenced investigating the incident.
 
Pole zake. Tuishi na wanawake kwa AKILI
 
Yaan Kenya roho mbaya ni yakuzaliwa nayo saa mtoto wa miaka kumi na Tisa anapata wapi ujasiri wa kumpiga MTU beto LA shingo?
 
Huko kwa wenzetu hakuna tena mapenzi ya

I Love Your Baby.
Bali ni

Nipe Nikupe
Huna Ondoka

Do Or Die
 
Why Kenyan ? Mna pepo gan jaman yaan haupiti mwezi utasikia mtu kampiga mpenziwe bisu au risasi WHY ?
 
Bbc wana documentary inaitwa Are kenyan men in crisis, wanakufa na kuuana sana hawa wakenya
 
Yaan Kenya roho mbaya ni yakuzaliwa nayo saa mtoto wa miaka kumi na Tisa anapata wapi ujasiri wa kumpiga MTU beto LA shingo?
Tukio moja au matukio kadhaa yasifanye uhitimishe kuwa wakenya wapo hivyo, mimi katika ujana wangu hadi sasa ambapo nipo 50+ nimetembea zaidi ya mikoa karibia mikoa yote hapa tanzania nimeona mengi sana ambayo kama yangekuwa reported kila kukicha bhas hata hawa wazungu wasingekanyaga Tanzania,Nishashuhudia mtu akimkata kolomeo mwenzake kwa deni la 2000tsh(1999),nshakutana na maiti nyingi sana njian miaka hiyo yan ilibidi kuna muda hata nitoe nguo zangu kusitili hizo mait maana ilikuwa unazikuta uchi wa mnyama,nshawah kwenda sehem mwaka 2000 nkakuta kuna vita ya mapanga baina ya wakulima na wafugaji imetoka kuisha jana yake aisee niliyoyaona nilihisi kufa ganzi mwili mzima lakini sikuwah kufanua conclusion ya kwamba nchi yangu ni ya watu makatili kwa niloyoyaona,Zambia, Congo DRC, Msumbiji,Uganda,Burundi, Rwanda na malawi ni baadhi nchi za watu ambazo nimekaa kwa zaidi ya mwaka nikaona mengi ya kutisha lakini pia nafsi yangu haijawah kuwaona raia wao kama makatili au ni watu wenye nature ya kuwa na roho mbaya, wakenya pia nawajua kiasi maana nimekaa sana pale boarder ya Namanga
 
Kitabu chako utakizundua lini
 
hongera mzee mwenzangu kwa kula chumvi ya kutoshaa mazeee...mm pia mwakani nafikisha miaka 63 dah, uzee haugongi hodii MK254 au vipi mwenzetu mzee maina
 
Shikamoo aisei
Ndio nipo kwenye hatua za mwisho za kumaliza makali ya Dengue ambayo ilinipiga chini, niliipata Dar yaani haina dawa, kazi kunywa maji kwa wingi na panadol kwa ajili ya homa. Kitu kama hiki ukiskie kwa watu lakini kisibishe hodi kwako maana Dengue sio ugonjwa...ni ushetwani fulani aki.....sio kwa mateso yale.
 
Hivi wanawake,mnataka sasa tukiwaona mmekasirika tuwe tunawakimbia ndio mfurahi...?
 
Mara mia saba wanaume wa Dar kuliko wanaume wa Nairobi. Ni mazezeta

Hebu tupe taarifa zaidi, wanaume wangapi wa Nairobi walikutumia vibaya hadi uone bora wa Dar.
 
Kitabu chako utakizundua lini
Hahahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......!!!. ila watu wa hii jamiii ya forum wanalaana si bure
 
Back
Top Bottom