Binti wa Miaka 25- Anatafuta kazi ya Duka

Binti wa Miaka 25- Anatafuta kazi ya Duka

Hell2Heaven

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
173
Reaction score
465
Habarini wapendwa!

Kuna msichana wa miaka 25, Yupo Dar es Salaam, anatafuta kazi za Supermarket, Bakery Shop, Stationaries, Duka la Nguo/Duka la Vipodozi, Duka la Uwakala wa Miamala, Duka la Vinywaji baridi(Siyo grosary) na Mengineo ya kufanana nazo.

Kama una muitaji wasiliana na mimi kwa DM nikuonganishe naye.
 
Kwa hiyo hataki kulima bustani ya mboga au maua, kupika chapati//vitumbuwa/mandazi wala...
Hataki kutembeza na kuuza maji, mihogo, karanga, wala asali?!
Kifupi hataki kujiajiri?!
 
Mi nataka kuoa na hiyo kazi nitamfungulia mimi ila bado nipo kwenye ziro na endapo atakubali ndoa nitakua hilo na matunda ya uvumilivu wake atayachuma.
 
Back
Top Bottom