Boy-Friend
New Member
- Nov 4, 2021
- 2
- 0
Kwa Mabinti/Wife Material tu! Nasisitiza uzi huu ni kwa mabinti/wife material tu. Mwanaume usijishughulishe kwa sababu haukuhusu. Nitamshangaa sana mwanaume atakaye-comment hapa. Pili, hata kwa mabinti nitajibu message zilizotumwa INBOX tu! Mimi sijibu message yoyote ya public.
Well, mimi ni kijana wa miaka 28. Nina elimu ya Chuo Kiuu. Dini Mkristo. Ninafanya kazi sekta binafsi. Ninatafuta binti mkali sana (maana yake mzuri wa sura na mrembo sana) kwa lengo la urafiki (yaani girl-friend/boy-friend relationship). Lengo la mwisho ni kufunga pingu za maisha. Sifa ninazozitaka ni hizi: -
Ndiyo hivyo wadau. Binti mzuri / wife material karibu inbox. Tuyajenge.
Wasalaam.

- Miaka: 20 - 25
- Dini: Mkristo au akiwa Mwislamu akubali kubadili dini
- Elimu: Form Four na kuendelea
- Language: Should be very good in English. Lazima ajue kiingereza vizuri sana. Yaani NGELI ipande kweli kweli
- Kazi: Akiwa nayo sawa, lakini asipokuwa nayo siyo shida
- Rangi ya ngozi: Mweupe au Maji ya kunde
- Unene/wembamba: Awe mwembamba (slim)
Ndiyo hivyo wadau. Binti mzuri / wife material karibu inbox. Tuyajenge.
Wasalaam.