Bintiye Vladimir Putin Atoweka

Bintiye Vladimir Putin Atoweka

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Tunapo shereheka na Sikukuu tuwakumbuke watesekao na hata waliotokomezwa kusikojulikana.

Ni jambo la msingi kwa awaye yote akajua uonevu wowote dhidi ya wengine kwa kutofautiana mawazo au imani tu haukubaliki.

Kwao kama kwetu, binti Putin yamemkuta.

Binti kafanya yasiyowapendeza wenye nguvu zao. Mwezi wa pili hajanena lolote likasika.

Sababu tosha ya kuhoji.

Mystery as Putin’s ‘love-child’ vanishes after posts about mum’s £3.1m penthouse

Tungali tuna safari ndefu.

Wako wapi wapendwa wetu mliotokomea nao kusikojulikana?

IMG_20211015_144814_546.jpg
 
Haiingii akilini hata kidogo

Komando Mhina anasema kwenye kukamatwa kwake na kina Kingai:

"alitambua baadaye kuwa kumbe kulikuwa na makumi ya askari nyuma ya pazia standby kama angekomaa."

Katika mazingira kama hayo Mosses Lijenje alitoweka vipi RAU madukani?

Ninakazia: "Haiingii akilini hata kidogo."
 
Tunapo shereheka na Sikukuu tuwakumbuke watesekao na hata waliotokomezwa kusikojulikana.

Ni jambo la msingi kwa awaye yote akajua uonevu wowote dhidi ya wengine kwa kutofautiana mawazo au imani tu haukubaliki.

Kwao kama kwetu, binti Putin yamemkuta.

Binti kafanya yasiyowapendeza wenye nguvu zao. Mwezi wa pili hajanena lolote likasika.

Sababu tosha ya kuhoji.

Mystery as Putin’s ‘love-child’ vanishes after posts about mum’s £3.1m penthouse

Tungali tuna safari ndefu.

Wako wapi wapendwa wetu mliotokomea nao kusikojulikana?

View attachment 2056675
: “I have a private life in which I do not permit interference.

“It must be respected.” Msimamo wa kiume
 
Mtoto wa Rais hawezi kupotea kizembe hivyo labda ameambiwa afunge mdomo.

Huyo Lejenje alikuwa miongoni mwa wale wanaoshitakiwa kwenye kesi ya Ugaidi pamoja na Mh Mbowe?

Hakuna shaka atakuwa kanyamazishwa. Bila shaka si kwa maneno wala kwa kufuli:

IMG_20211223_225230_042.jpg

Lijenje ni mmoja tu katika orodha ndefu ya wengi walionyamazishwa namna hii.

Wengine hata wako kama bwana John Tregarth wa "Mission to Venice." Huyu bwana alitokomea kusikojulikana akiwa Venice, Italy.

Hata kwa kumwulizia tu kama ndugu, jamaa rafiki au hata sympathizer kumlimfanya awaye yote kuwa shabaha halali kwa mabazazi.

Kwa hakika, "ubaya ulianza zamani." RIP Muhidini Mwalimu.
 
Soma story in English ndipo upate maana yake Ndugu....she has vanished and not disappeared.

Kwa mtizamo wako yupo labda kwa mchepuko?

Hata jiwe na Sirro walisema hivyo kuwahusu wengi wakiwamo wa kwenye viroba.
 
Back
Top Bottom