Duh! mtoto wa boss
Haiingii akilini hata kidogoMtoto wa boss Putin anapotea je?
Kwani KGB walikuwa likizo?
Haiingii akilini hata kidogo
: “I have a private life in which I do not permit interference.Tunapo shereheka na Sikukuu tuwakumbuke watesekao na hata waliotokomezwa kusikojulikana.
Ni jambo la msingi kwa awaye yote akajua uonevu wowote dhidi ya wengine kwa kutofautiana mawazo au imani tu haukubaliki.
Kwao kama kwetu, binti Putin yamemkuta.
Binti kafanya yasiyowapendeza wenye nguvu zao. Mwezi wa pili hajanena lolote likasika.
Sababu tosha ya kuhoji.
Mystery as Putin’s ‘love-child’ vanishes after posts about mum’s £3.1m penthouse
Tungali tuna safari ndefu.
Wako wapi wapendwa wetu mliotokomea nao kusikojulikana?
View attachment 2056675
Haha naona umetumia mifano haiKomando Mhina anasema kwenye kukamatwa kwake na kina Kingai:
"alitambua baadaye kuwa kumbe kulikuwa na makumi ya askari nyuma ya pazia standby kama angekomaa."
Katika mazingira kama hayo Mosses Lijenje alitoweka vipi RAU madukani?
Ninakazia: "Haiingii akilini hata kidogo."
Mtoto wa Rais hawezi kupotea kizembe hivyo labda ameambiwa afunge mdomo.
Huyo Lejenje alikuwa miongoni mwa wale wanaoshitakiwa kwenye kesi ya Ugaidi pamoja na Mh Mbowe?
Haha naona umetumia mifano hai
Huyo Binti Putin tunaye hapa Tarime tunakula xmas.........
Msimamo wa nani huo,wa Lijenje au Bintiye Putin???: “I have a private life in which I do not permit interference.
“It must be respected.” Msimamo wa kiume
Msimamo wa nani huo,wa Lijenje au Bintiye Putin???
Inashangaza mtoto wa Putin apotee asijulikane alipo, huku kwetu bahati mbaya wenye mamlaka ya kutulinda ndio wanaotupoteza
Soma story in English ndipo upate maana yake Ndugu....she has vanished and not disappeared.Mtoto wa boss Putin anapotea je?
Kwani KGB walikuwa likizo?
Hapo SasaMtoto wa boss Putin anapotea je?
Kwani KGB walikuwa likizo?
Soma story in English ndipo upate maana yake Ndugu....she has vanished and not disappeared.
Hapo Sasa