bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Umesoma au umeangalia picha tu?
Dr. Said, nimetembelea hiyo blog yako, sijaona kama umeeleza chochote zaidi ya cut 'n' paste toka web za biodisc.Hi. Mimi naitwa Dr. Said. Miaka minne ilopita nilikutana na dada mmoja wa kichini kwenye mtandao akawa ananielezea kuhusu product ya Bio Disc. Nikiwa mwanafunzi wa udaktari wakati huo ilibidi nifanye utafiti kuelewa hiyo Bio Disc ni nini. Unaweza kuenda kwenye blog yangu ( Bio Disc Review Is it Legit or Just Another Scam?) Nimeelezea vizuri Bio Disc ni nini na inafanya kazi vipi na watu waliotumia wanasemaje.
Hi. Mimi naitwa Dr. Said. Miaka minne ilopita nilikutana na dada mmoja wa kichini kwenye mtandao akawa ananielezea kuhusu product ya Bio Disc. Nikiwa mwanafunzi wa udaktari wakati huo ilibidi nifanye utafiti kuelewa hiyo Bio Disc ni nini. Unaweza kuenda kwenye blog yangu ( Bio Disc Review Is it Legit or Just Another Scam?) Nimeelezea vizuri Bio Disc ni nini na inafanya kazi vipi na watu waliotumia wanasemaje.