elimu yako ni darasa la ngapiJe unaweza kufikiria ni utofauti gani wa kibiolojia ulifichika na unatofautisha kati ya mwanamme na mwanamke ??!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
Kibiolojia ndio nn?!halafu huu uzi unajua umepost jukwaa gani?!..siku nyingine utulize akili kabla hujapost
Sent using Jamii Forums mobile app