jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Electrical nzuri hiyo..hufi njaa.Nimepita huko Biomedical was so hot wakati iko introduced for the first time and Arusha Technical was the first College to introduce Biomedical, The first batch was all taken to various Hospitals but ilikuwa ni Upepo tu
Frankly speaking Kasome Course kati ya Hizi
-Civil, Mechanical au Electrical
But as long as you have shown interest with biomedical just go to Electrical
Those 3 courses are Core Courses
Ila kama hutegemei ajira nenda chochote ukipendacho
Pole sana kijana usikate tamaa nenda kapige doiploma pale MUSt Lakini hakikisha matokeo yako ya O level n mazuri matokeo ya form six hajana advantage kwa kiasi kikubwa kupata nafisi kuhusu ada ni nafuu sanaTafadhali! naomba ushauri juu ya kusoma diploma kozi ya Biomedical engeering.nimemaliza kidato cha sita PCM nimepata DEE Degree nadhani nafasi ipo kwa upande wa education tu! nami huko sitaki.
Nahitaji kusoma kozi hii(BIOMEDICAL ENGINEERING) but sijajua kuhusu ajira ipo kwa upande wa Diploma au vipi ?
Msaada wa maelezo yake Please [emoji120]
au ushauri...!
Must karibu tu!! nimesoma IYUNGA TECH ila sipata control number kutoka huko mpaka sasa!Pole sana kijana usikate tamaa nenda kapige doiploma pale MUSt Lakini hakikisha matokeo yako ya O level n mazuri matokeo ya form six hajana advantage kwa kiasi kikubwa kupata nafisi kuhusu ada ni nafuu sana
Login then utaipata hakuna haja ya kujisajili tenaMust karibu tu!! nimesoma IYUNGA TECH ila sipata control number kutoka huko mpaka sasa!
Nahisi nafasi nimeipoteza au naweza kulog out then kujisajili tena!!?
Kozi nzuri Ila private Kama KAM uwe na 3M+ kwa mwaka.Oyaah! unazungumzia CLINICAL DENTISTRY.
KAM collage wanatoa Pia
Mbeya Health science and ...
pia Iringa....
But sijaijua Ipoje kwa ishu ya kujiajiri ama kuajiriwa...!!!
Kasomee ishu za biashara Mzee Kama kweli una ndoto za kua mfanya biashara wa maana afya siku hizi miyeyusho hata kujiajiri ngumu serikali imekaza Sana vigezo vya kusoma na kujiajiri.hahahaha!!! No problem! O level nifanya vizuri one ya 9 nashanga Advance nimeenda kuwa bridge kwa wengine!!!
Hata hivyo sina namna kubaki na business ama au kwenda diploma!!
Just kulost time tu[emoji12]
Daah! Thanks 🫂!! Diploma ipo tu ngoja nikaanzishe biashara tu!Kasomee ishu za biashara Mzee Kama kweli una ndoto za kua mfanya biashara wa maana afya siku hizi miyeyusho hata kujiajiri ngumu serikali imekaza Sana vigezo vya kusoma na kujiajiri.
Nalog in nakuta bado inasearch. control number..!Login then utaipata hakuna haja ya kujisajili tena
Fuata huu ushauri mkuu hautojutiaNimepita huko Biomedical was so hot wakati iko introduced for the first time and Arusha Technical was the first College to introduce Biomedical, The first batch was all taken to various Hospitals but ilikuwa ni Upepo tu
Frankly speaking Kasome Course kati ya Hizi
-Civil, Mechanical au Electrical
But as long as you have shown interest with biomedical just go to Electrical
Those 3 courses are Core Courses
Ila kama hutegemei ajira nenda chochote ukipendacho
Wee o level 1 ya 9, afu advance ndo DEE? hauko serious.hahahaha!!! No problem! O level nifanya vizuri one ya 9 nashanga Advance nimeenda kuwa bridge kwa wengine!!!
Hata hivyo sina namna kubaki na business ama au kwenda diploma!!
Just kulost time tu[emoji12]