Biomedical engineering diploma

Haha nyie mnaoshauri na kusisitiza kozi fulani hulali njaa kuweni makini nasisi tumesoma izo kozi mnazoita hulali na njaa na tumepigika japo hatujakata tamaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pole mkuu, huenda nyie ndo mlichaguliwa na TAMISEMI mkaenda kuijulia hiyo kozi hukohuko chuo, so mkasoma ilimradi, ila ni suala la muda tu mambo yatakaa vizuri, usidhani utamaliza chuo leo then kesho upige pesa.
Kipindi cha mpito lazima kiwepo, na ni jambo la kawaida tu.

Ila ukisoma na ukawa vizuri na kazi zako zinaonekana hata ukiwa field utaona unaanza kupata connection.

Mkienda uwandani msiende kuuza sura, jifunzeni kila mnalopaswa kujifunza. Site uwe vizuri na software uwe vizuri pia.
 
Sure!!! Big upppp!!!
 
Kijana soma kitu chochote utakachochaguliwa,kwa kuwa maarifa ni kama mtori na Nyama/ajira ziko chini ya mtori.
Hata hivyo Soko la ajira kwa leo ni tofauti na siku zijazo.
 
Ningekushauri soma hii kozi! Miaka 3,4 ijayo Hospital za Tanzania zitakuwa na mashine za kutosha so ajira zitakuwepo lakini pia chance ya kujiajiri ni kubwa sana
 
Kijana soma kitu chochote utakachochaguliwa,kwa kuwa maarifa ni kama mtori na Nyama/ajira ziko chini ya mtori.
Hata hivyo Soko la ajira kwa leo ni tofauti na siku zijazo.
Oooh!! hakuna nouma ! asante sana[emoji109]
 
Ningekushauri soma hii kozi! Miaka 3,4 ijayo Hospital za Tanzania zitakuwa na mashine za kutosha so ajira zitakuwepo lakini pia chance ya kujiajiri ni kubwa sana
Umenifungua! asante...!! [emoji120][emoji120][emoji109]
 
Soko la ajila ni finyu sana, kasome pharmacy au lab au dental au hata clinical medicine au nursing, hizo ni kada zinazohitaji watu wengi kwa mkupuo
 
Soko la ajila ni finyu sana, kasome pharmacy au lab au dental au hata clinical medicine au nursing, hizo ni kada zinazohitaji watu wengi kwa mkupuo
[emoji102][emoji102] duuuuuuh!! Salooot umetishaah [emoji275] ya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…