iam_Muhammad
Member
- Sep 19, 2017
- 29
- 12
Je ni kozi nzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafutwa wapi huko mkuu?Nzuri sana, wapo wachache na wanatafutwa mno. Ukipata chance ya kuiendea usifanye makosa
Hospitali zote kubwa zinaupungifu wa Biomedical engineers.Wanatafutwa wapi huko mkuu?
Nikuletee majina 4 tu ya wahitimu
Una uhakika wanatafutwa ? Mbona hatuoni wakiajiriwa? Yes kwa upande wa shahada nakiri kusema bado wachache kwa maana degree yake iko arusha tech na muhimbili pekee ila kwa upande wa diploma madogo wame graduate kibao kitaani na hawana michongo ,,,,vyuo vinavyotoa diploma in biomedical and equipment engineering ni pamoja na dit must na arusha tech (ATC) .na vijana wa shortcut imekuwa ndo kimbilio lao kama ilivokuwa kwa civil engineering hapo mwanzo ....NB: kuna upungufu mkubwa wa hawa watu mahospitali na hata wakiajiriwa wote waliopo mtaani bado kutakuwa na uhitaji tena...rejea mwanzo wa bandiko ili unielewe vizuriNzuri sana, wapo wachache na wanatafutwa mno. Ukipata chance ya kuiendea usifanye makosa
Hujui hata unachokiongea?Nzuri sana, wapo wachache na wanatafutwa mno. Ukipata chance ya kuiendea usifanye makosa
Mkuu umerudi kwenye faniHujui hata unachokiongea?
Usamehewe sana
Ha ha ha ha ,shida siyo ajira,shida siyo hospitali !Mkuu umerudi kwenye fani
Hebu wape somo, lakini usiwakatishe tamaa....
Hospitali mpya zinaongezeka......
Aisee...!!Nzuri sana, wapo wachache na wanatafutwa mno. Ukipata chance ya kuiendea usifanye makosa
Kama wewe ni mtoto wa mkulima..Je ni kozi nzuri?
Kwani tanzania kuna kozi za petroleumKama wewe ni mtoto wa mkulima..
Kama wewe baba ako sio kada wa chama..
Kama wewe huna koneksheni..
Na kama wewe unaishi Tz..
Nakushauri kaa mbali na hiyo kozi!!
Ila kama unataka kusomea engineering.. kasome moja wapo kati ya hizi..
1. Civil engineering.
2. Electrical
3. Mechanical
NB: Hizo kozi mpya ni mzuri lakini ni risky, bado nawakumbuka watu wa petrolium engineering na telecom!!
Alibahatisha yule mdada tu akaenda kule mtwara aliyesomea petroleum engineeringKwani tanzania kuna kozi za petroleum
Yupi huyo mkuu tupo maelezo kamili changamoto za kozi na ilikuwejeAlibahatisha yule mdada tu akaenda kule mtwara aliyesomea petroleum engineering