Biomedical Engineering

Biomedical Engineering

mapendo daima

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
11
Reaction score
20
Habari za kazi ndugu!

Mi ni mwanafunzi wa Biomedical Engineering niko mwaka wa pili na nikiingia mwaka wa tatu inabidi nichague upande ambao nitaendelea kusoma medical devices, nikiwa na maana ya kutengeneza na kudizaini au tissue engineering.

Nilikuwa naomba maoni yako kujua ni upande upi ni sahii zaidi kwa hali yetu Tanzania.

Ni hilo tuu
 
Back
Top Bottom