chash
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 548
- 230
Tafakari. Imagine. Kenya inatumia mabilioni ya hela kununua voting kits ambazo kati ka nchi zingine zinafanya kazi vizuri lakini Kenya zina fail. Hii inaelezeka vipi? Uafrika kama kawaida? ujinga? rigging? Je kulikuwa na money back guarantee? vitarudishwa vikatengenezwe ili kura zijazo zitumike tena? mimi nahisi zilitengenezewa river road na zinaleta aibu. Ma nchi mengine bora yamrudishe mkoloni. Bure kabisa