mkoloni aanze kurudi tanzania,tumeshindwa kujitawalaTafakari. Imagine. Kenya inatumia mabilioni ya hela kununua voting kits ambazo kati ka nchi zingine zinafanya kazi vizuri lakini Kenya zina fail. Hii inaelezeka vipi? Uafrika kama kawaida? ujinga? rigging? Je kulikuwa na money back guarantee? vitarudishwa vikatengenezwe ili kura zijazo zitumike tena? mimi nahisi zilitengenezewa river road na zinaleta aibu. Ma nchi mengine bora yamrudishe mkoloni. Bure kabisa
Mpaka sasa wanahesabu manually Uhuru kenyatta 2.3m votes while Raila A. Odinga 17m votes jibaba Raila safari hii umekalia kuti kavu utarudi kwenu ukavue samaki maana hutapata cheo chochote kama ulivyoonewa huruma last time 2007/08 ukapewa uwaziri mkuu