Beberu bana, yaani wamekomaa. Sasa watatuletea variety ya kirusi kitakachoua watoto wadogo, ambayo tutake tusitake tutawachanja la sivyo kadibya clinic inakuwa na mapungufu!
Nimesikia tetesi uvumi mahali eti vijijini huko wamama wakipeleka watoto wao kupata zile chanjo za awali wanalazimishwa na wao mama au Baba kuchanjwa COVID. Sijui kuna ukweli??