Birdman Shows Off His Gold Toilet


Nani kakwambia kwamba Birdman hajawahi kudonate hela kwenye miradi yeyote?!

Au mpaka na yeye aanzishe mfuko kama bilgate?,kwani hawezi kudonate hela hata kupitia kwenye hizo taasisi nyingine au hujui kwamba hzo taasisi huwa zina-rise funds?!

Kwamba asifanye anayoyapenda kisa wewe maskini umemkalia kooni na kumpangia matumizi ya PESA ZAKE

Au hujui kwamba hao wakina william gates nao kuna vitu wanamiliki vinathamani zaidi ya hicho choo?

Pump your brakes and let a black man use his hard earned money

Watu na maisha yao
 

kila mtu mwenye pesa kuna kitu cha ajabu aliwahi fanya, nakumbuka mwaka juzi gates alinunua diary inayodaiwa ilikuwa ya ronaldi da vinci kwa kiasi cha USD 35 milions.
 
kila mtu mwenye pesa kuna kitu cha ajabu aliwahi fanya, nakumbuka mwaka juzi gates alinunenua diary inayodaiwa ilikuwa ya ronaldi da vinci kwa kiasi cha USD 35 milions.

Hyo hata mi ningenunua ,lakin choo cha dhahabu haha haha haha,though am just a upcoming richman ,(upcoming tycoon) naona kabisa hyo ya diary ipo justifiable lakin hyo ya choo.mhhh
 

The fact kwamba nimeona choo chake na kusikia habari za choo chake na sijasikia habari za contribution yake kwenye international community inatosha kabisa kujudge nikivyomjudge.

Niushamba tu.na ulimbuken ,ila i think ni matokeo ya slavery mindset.
 
The fact kwamba nimeona choo chake na kusikia habari za choo chake na sijasikia habari za contribution yake kwenye international community inatosha kabisa kujudge nikivyomjudge.

Niushamba tu.na ulimbuken ,ila i think ni matokeo ya slavery mindset.

Na sio lazima usikie kuhusu contribution yake kwa jamii,

Kuna sheria inayosema nikiwa na hela lazima nikupe na wewe ndo nifanye starehe zangu?

Bado hujaona kufuru wewe ndio maana $1 mil imekutoa macho

Wewe na Baby nani mshamba?,yaani mtu alieanza kushika hela toka wewe unakula chips vumbi unamuita limbukeni?!

Wabongo mtakufa na wivu wa kike...
 
Baada ya muda utasikia kafilisika huo ndio ulimbukeni wa ngozi nyeusi,matumizi yasiyo ya msingi ndio ufahari wao
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…